Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa.
Usiwachekee wachezaji ambao hawataki kuvuja jasho uwanjani.