Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.

Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.

Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...

ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.

Benchikah, kocha wa Simba SC.
1713565620886.jpg
 
Mngekua mnaweka video ingekua vyema, bongo Kila mtu akiamka anatoa taarifa yake anavyojiskia hasa hizi blog na online TV uchwara

Kocha Alie katika mkataba hawezi toa maneno ya kijinga kama haya
Yani online tv ndio bure kabisa unakuta heading na alichoongea mhusika vitu viwili tofauti , Watu mabingwa sana kutengeneza title zao
 
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.

Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.

Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...

ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.

Benchikah, kocha wa Simba SC.View attachment 2969946
Sshidaa uahirikina sema unwell kochaa
 
Simba haiwezi fika sehemu yeyote na kikosi chenye wachezaji wana maika zaidi ya 40. Kibu anakimbia kimbia tu kama kuku asiye na kichwa. timu nzima ifumuliwe
Mbna mlikua mnamfagilia sana
 
BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.

Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.

Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...

ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.

Benchikah, kocha wa Simba SC.View attachment 2969946
Sio kwamba ni wachezaji wagumu,bali kuna wachezaji wasaliti sana kwenye timu.
Siogopi kusema lakini Inonga ni bora Simba waachane naye.
 
Back
Top Bottom