Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uongo, kanoute hakupangwa 9.Shida sio wachezaji. Bali mbinu na wana cheza wapi. Kanoute wa kucheza 9 kweli?si katumwa yule midevu kuharibu timu.?sioni tatizo kwa wachezaji ila mwalimu kaishiwa mbinu.
Sasa angempanga Boko? Maana Kibu Denis ndio bure kabisa miguvu mingi akili hamna wala kipaji hana.Shida sio wachezaji. Bali mbinu na wana cheza wapi. Kanoute wa kucheza 9 kweli?si katumwa yule midevu kuharibu timu.?sioni tatizo kwa wachezaji ila mwalimu kaishiwa mbinu.
Hio ni tactical switch ikikubali unaonekana genius, iki fail unaonekana bogusKweli.mchezaji anacheza namba nyingine anampanga namba nyingine
AONDOKE.timu inacheza ovyoo. Kucheza vibaya sio kosa.kosa ni kushindwa kupanga kikosi chako.anazidiwa hadi na mgunda.kila mtu mpange kwenye namba yake. Kwa sasa sina cha kuwalaumu wachezajiHio ni tactical switch ikikubali unaonekana genius, iki fail unaonekana bogus
We jamaa wewe.BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.
Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...
ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.
Benchikah, kocha wa Simba SC.
View attachment 2969946
Yani online tv ndio bure kabisa unakuta heading na alichoongea mhusika vitu viwili tofauti , Watu mabingwa sana kutengeneza title zao