Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

Benchika: wachezaji wa Simba ni wagumu sijawahi kuona, nisilaumiwe mimi

Sio kwamba ni wachezaji wagumu,bali kuna wachezaji wasaliti sana kwenye timu.
Siogopi kusema lakini Inonga ni bora Simba waachane naye.
Mtandao wa YANGA huwa sasa naugopa...si propaganda za media etc..

Kibaya bado friends of simba imezubaa...
 
Back
Top Bottom