Mwamba anasakata kabumbu ile kinoma, lakini katika mechi 20 ana goli moja tu 😳Simba haiwezi fika sehemu yeyote na kikosi chenye wachezaji wana maika zaidi ya 40. Kibu anakimbia kimbia tu kama kuku asiye na kichwa. timu nzima ifumuliwe
Kanoute fake 9.Hamna kocha humo. anapanga kikosi KIPUUZI SANA.winga anamuweka beki,beki namba 4 ana muweka namba 3.yaani vurugu tupu
Au hawajui wachezaji wake?Kanoute fake 9.
Yani online tv ndio bure kabisa unakuta heading na alichoongea mhusika vitu viwili tofauti , Watu mabingwa sana kutengeneza title zaoMngekua mnaweka video ingekua vyema, bongo Kila mtu akiamka anatoa taarifa yake anavyojiskia hasa hizi blog na online TV uchwara
Kocha Alie katika mkataba hawezi toa maneno ya kijinga kama haya
Sshidaa uahirikina sema unwell kochaaBENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.
Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...
ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.
Benchikah, kocha wa Simba SC.View attachment 2969946
Kweli.mchezaji anacheza namba nyingine anampanga namba nyingineHaaa acha masihara boss
Sio kwamba ni wachezaji wagumu,bali kuna wachezaji wasaliti sana kwenye timu.BENCHIKA: WACHEZAJI WANGU NI WAGUMU KUELEWA, NISILAUMIWE MIMI.
Tangu nimeanza kufundisha mpira sikuwai kukutana na timu yenye wachezaji wagumu kuelewa kama hii simba timu inacheza tofauti kabisa na matakwa yangu.
Nitaongea tena na viongozi wangu kama nitakubaliwa kuunda timu yangu upya msimu ujao ili niandae list yangu ya wachezaji nitakaoweza kuunda timu bora Africa...
ila kama watashindwa kukubaliana na mimi basi watambue kuwa CV yangu sijaitengeza na pesa nashuka CV yangu kila kukicha naweza kufanya maamuzi sahihi.
Benchikah, kocha wa Simba SC.View attachment 2969946
Mna wachezaji sasa? Ukimuacha chama na che malone?Hamna kocha humo. anapanga kikosi KIPUUZI SANA.winga anamuweka beki,beki namba 4 ana muweka namba 3.yaani vurugu tupu
Shida sio wachezaji. Bali mbinu na wana cheza wapi. Kanoute wa kucheza 9 kweli?si katumwa yule midevu kuharibu timu.?sioni tatizo kwa wachezaji ila mwalimu kaishiwa mbinu.Mna wachezaji sasa? Ukimuacha chama na che malone?