Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kakimbia?Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Huenda masomo ya miaka 5 ndg.Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Kooolo wanaruka na kukanyagani,ile kinyaamaa,kweli kweli 😅Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Mangungu anatuletea kocha mwanafunzi..!?Kusoma tena??
Akili yako ya kitopolo sana, kocha wa kimataifa hawezi kukimbia timu, halafu aende wapi? Akikimbia hataruhusiwa kufundisha popote duniani hadi amalizane na timu aliyoingia nayo mkataba. Ingekuwa hivyo hata Dube angeondoka akaja yanga na leo angecheza na Namungo.Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Mkuu umenena ila aliyetuloga kesha fariki dunia ati.UKISHANIKIA SANA SIMBA NA YANGA UTAUMIZA KICHWA NDUGU YANGU
AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.
UNAPOTEZA MUDA MWINGI KWAJILI YA UPUMBAVU TU.
Mungu awasaidie mpone.
Na zaidi unakua maskini ..UKISHANIKIA SANA SIMBA NA YANGA UTAUMIZA KICHWA NDUGU YANGU
AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.
UNAPOTEZA MUDA MWINGI KWAJILI YA UPUMBAVU TU.
Mungu awasaidie mpone.
Imekusaidia Nini zaid ya kuendelea kua maskini was kutupwa happo ulipo?Kooolo wanaruka na kukanyagani,ile kinyaamaa,kweli kweli [emoji28]