Benchikha kakimbia timu mbovu?

Benchikha kakimbia timu mbovu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.

Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
 
Klabu bora namba 5 Barani Afrika Kwa Mujibu Wa CAF current ranking...!

Hakuna Kocha asiyependa kufundisha timu no.5......!

Ila Kwa Kuwa Kambia haya Sawa!
 
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.

Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
kakimbia?
 
Huenda masomo ya miaka 5 ndg.
Wenye akili watanielewa
 
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.

Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Kooolo wanaruka na kukanyagani,ile kinyaamaa,kweli kweli 😅
 
Tusubiri muda utasema kama kakimbia timu au atarudi
 
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.

Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Akili yako ya kitopolo sana, kocha wa kimataifa hawezi kukimbia timu, halafu aende wapi? Akikimbia hataruhusiwa kufundisha popote duniani hadi amalizane na timu aliyoingia nayo mkataba. Ingekuwa hivyo hata Dube angeondoka akaja yanga na leo angecheza na Namungo.
 
UKISHANIKIA SANA SIMBA NA YANGA UTAUMIZA KICHWA NDUGU YANGU

AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.

UNAPOTEZA MUDA MWINGI KWAJILI YA UPUMBAVU TU.

Mungu awasaidie mpone.
Mkuu umenena ila aliyetuloga kesha fariki dunia ati.
 
UKISHANIKIA SANA SIMBA NA YANGA UTAUMIZA KICHWA NDUGU YANGU

AKILI ZINAANZA KUPUNGUA.

UNAPOTEZA MUDA MWINGI KWAJILI YA UPUMBAVU TU.

Mungu awasaidie mpone.
Na zaidi unakua maskini ..
 
Back
Top Bottom