Benchikha: "Sisi Waalgeria hatumuogopi mtu"

Benchikha: "Sisi Waalgeria hatumuogopi mtu"

Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.

Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho msimu wa 2022-23. Benchikha alisema "Sisi Waalgeria hatuna historia au tabia ya kumuogopa mtu yoyote". Wakati Deportivo de Utopolo wakienda kucheza mechi yao na CRB, ni muhimu wakakumbuka hii kauli ya kibabe.

Mimi binafsi nikienda zangu kwa mhindi namwambia amuue Yanga na vizazi vyake vyote, halafu narudi zangu geto kusubiria maokoto.
i think he is farting now
 
Back
Top Bottom