Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hilo eneo ilipopandishwa bendera SIO Russia bali ni Syria. Hivyo Russia HAWEZI kwa namna yoyote kuwazuia Wasyria kufanya chochote kwenye ardhi yao ili mradi tu hawavunji makubaliano ya "The Vienna Convention".Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.
Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Mtazamo wako unaheshimiwaMrusi kashajua Assad kapigwa mpaka kakimbia.
Mrusi anajua kuwa ana base za kijeshi Syria na bado anazitaka, hivyo ni muhinu aendeleze mahusiano na serikali mpya.
Mrusi amekubali ukweli kwamba, kwenye diplomasia hakuna rafiki wa milele wala adui wa milele, kuna interests za nchi tu.
Hivyo ndivyo chess linavyochezwa.
Huo si mtazamo wangu tu, huo ni ukweli unaofuata mantiki.Mtazamo wako unaheshimiwa
New Syrian Government Flag raised over Syrian embassy in Russia . Haya soma kwa kiingereza labda utaelewaHilo eneo ilipopandishwa bendera SIO Russia bali ni Syria. Hivyo Russia HAWEZI kwa namna yoyote kuwazuia Wasyria kufanya chochote kwenye ardhi yao ili mradi tu hawavunji makubaliano ya "The Vienna Convention".
Ukweli kwa mujibu wa kwako na mantiki yako tunaupokeaHuo si mtazamo wangu tu, huo ni ukweli unaofuata mantiki.
Ahahahahaha!New Syrian Government Flag raised over Syrian embassy in Russia . Haya soma kwa kiingereza labda utaelewa
New Iraq,Afghanistan,Lyibiais comingHaya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.
Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Hii si mantiki yangu. Ni mantiki.Ukweli kwa mujibu wa kwako na mantiki yako tunaupokea
Sijui tuwaombee amani tuNew Iraq,Afghanistan,Lyibiais coming
Ok whateverHii si mantiki yangu. Ni mantiki.
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama, sasa ni wazi kwamba waliochukua nchi Syria ndio wenye ubavu wa kupambana na Israel Assad alikuwa tepetepe, Assad alikuwa hana majibu alipokuwa akishambuliwa na mazayuni sasa wanaume wameishika kambi subiri mziki uanze.,Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.
Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Si whatever. Ni mantiki.Ok whatever
Haya hiyo kutoka Sky News labda utaamini kwa sababu ni chombo cha habari kutoka nchi za westernHilo eneo ilipopandishwa bendera SIO Russia bali ni Syria. Hivyo Russia HAWEZI kwa namna yoyote kuwazuia Wasyria kufanya chochote kwenye ardhi yao ili mradi tu hawavunji makubaliano ya "The Vienna Convention".
SawaSi whatever. Ni mantiki.