Mkuuu ukiachana na yote uliyosema, kiukweli natamanig sana kujua mchezo wa chess siju naanzia wapi?!Mrusi kashajua Assad kapigwa mpaka kakimbia.
Mrusi anajua kuwa ana base za kijeshi Syria na bado anazitaka, hivyo ni muhinu aendeleze mahusiano na serikali mpya.
Mrusi amekubali ukweli kwamba, kwenye diplomasia hakuna rafiki wa milele wala adui wa milele, kuna interests za nchi tu.
Hivyo ndivyo chess linavyochezwa.