Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Naona unakula nae sahani mojaSi whatever. Ni mantiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unakula nae sahani mojaSi whatever. Ni mantiki.
Wewe ndo bogus, hujaelewa. Ni kwamba eneo la ubalozi lililoko Russia linatambulika kama eneo la nchi husika (Syria). Hata kama liko Russia hii kulingana na mkataba wa viena. Unajitia ujuaji kuandika kiingereza kumbe hujui kunaongelewa nini.New Syrian Government Flag raised over Syrian embassy in Russia . Haya soma kwa kiingereza labda utaelewa
Host country ana Haki ya kukataa balozi ya nchi husika. Kwahiyo kama balozi kapokelewa basi Russia kaitambua Serikali. Hata hapa Tanzania mara kibao serikali imeshakataa kupokea mabalozi wa nchi kadhaaWewe ndo bogus, hujaolewa. Ni kwamba eneo la ubalozi lililoko Russia linatambulika kama eneo la nchi husika (Syria). Hata kama liko Russia hii kulingana na mkataba wa viena. Unajitia ujuaji kuandika kiingereza kumbe hujui kunaongelewa nini.
Dogo diplomatic issues huzielewi. Ingelikuwa busara zaidi ukauliza nilimaanisha nini. Labda nikusaidie. Eneo lolote linalotambuliwa kama ni la ubalozi wa nchi fulani ndani ya nchi nyengine, basi kwa kutumia The Vienna Convention hilo ni eneo la nchi yenye ubalozi husika na ndio maana wanapeperusha bendera ya nchi yao. Sijui umenielewa???Haya hiyo kutoka Sky News labda utaamini kwa sababu ni chombo cha habari kutoka nchi za western View attachment 3173115
😂😂😂 Naona unashangilia kwa mbaliiNaona unakula nae sahani moja
Usigeuze GIA angani rejea post Yako ya mwanzo umeeleza vizuri kwamba hilo jengo la ubalozi lipo Syria na kwamba hapo siyo Urusi. Ila pia nashukuru kwa kuniitia dogo japo hatuonani basi tupeane heshima tu huwezi kujua labda nimekuzidi umri.Dogo diplomatic issues huzielewi. Ingelikuwa busara zaidi ukauliza nilimaanisha nini. Labda nikusaidie. Eneo lolote linalotambuliwa kama ni la ubalozi wa nchi fulani ndani ya nchi nyengine, basi kwa kutumia The Vienna Convention hilo ni eneo la nchi yenye ubalozi husika na ndio maana wanapeperusha bendera ya nchi yao. Sijui umenielewa???
Ahahah Amna mkuu, sina comment mkuu😂😂😂 Naona unashangilia kwa mbalii
Wewe ndoto za kuiondoa CCM madarakani achana nazo maana ni kitu kisichowezekana. Kama vipi iuzeni chadema mgawane mbaoWaSyria wamejikomboa bado Mazezeta ya Tanzania uchaguzi ujao kura zikiibiwa labda Mazezeta yataamka.
Aliyekujibu kafikiri bendera imepandishwa nchini Syria ila wewe hujaelewa.Host country ana Haki ya kukataa balozi ya nchi husika. Kwahiyo kama balozi kapokelewa basi Russia kaitambua Serikali. Hata hapa Tanzania mara kibao serikali imeshakataa kupokea mabalozi wa nchi kadhaa
Naweka rekodi sawa tu, sitaki ujinga.Naona unakula nae sahani moja
Ndio maana nimewapiga "Dongo" Watanzania, CHADEMA haiwezi kumkomboa Zezeta, itabidi msukumo wa ziada utumike kama huko Mozambique wakati wa Vita vya Uhuru,Wananchi walikuwa wakiamini kuwa Utawala wa Mreno hauwezekani kutolewa.Wewe ndoto za kuiondoa CCM madarakani achana nazo maana ni kitu kisichowezekana. Kama vipi iuzeni chadema mgawane mbao
Sio kweli mipango ilisukwa na ikasukika, Assad alikuwa tepetepe subiri uone kazi, huoni namna Assad alivyopinduliwa kirahisi, Iran walitoa wanajeshi wao na urusia pia walitulia na Assad akapewa maisha Russia yeye na familia yake. bado hujaamka tu?Putin anakuwa mtu wa kushirikiana na hata fisi ilimradi tu yeye mambo yake yawe sawa, maana huko anakoenda anakujua mwenyewe
Usituletee machafuko kama umeichoka amani Rudi kwenu Burundi. Watanzania tuna Imani na uongozi wa chama cha mapinduzi.Ndio maana nimewapiga "Dongo" Watanzania CHADEMA haiwezi kumkomboa Zezeta itabidi msukumo wa ziada utumike kama huko Mozambique wakati wa Vita vya Uhuru,Wananchi walikuwa wakiamini kuwa Utawala wa Mreno hauwezekani kutolewa.
Zezeta lolote ni rahisi kukata tamaa na huwa liko bize na mambo ya kipuuzi puuzi kama Vigodoro nk.
Zezeta likikombolewa ndio huwa linagundua uzuri wa Freedom tena huwa linakuwa mstari wa mbele kusherehekea😆😁
CHADEMA haiwezi kumkomboa Zezeta.
Amani?! Na hao Wananchi wanaotekwa na kuuwawa au na wenyewe ni Warundi wa Gitega kama mimi?! Anyway nisiderail uzi wako bhana, wa Bendera za Syria..si ndio wahego?Watanzania tuna Imani
New Syrian Government Flag raised over Syrian embassy in Russia . Haya soma kwa kiingereza labda utaelewa
Na waasi walishasema majeshi ya russia yaendelee kubaki na hawatashambulia mali na assets za russia.Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.
Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096
Hapo mwondoe Assad..Huenda kuna mazungumzo na makubaliano kati ya Urusi, waasi, na Assad ambayo hayajatangazwa hadharani.