Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

Dogo diplomatic issues huzielewi. Ingelikuwa busara zaidi ukauliza nilimaanisha nini. Labda nikusaidie. Eneo lolote linalotambuliwa kama ni la ubalozi wa nchi fulani ndani ya nchi nyengine, basi kwa kutumia The Vienna Convention hilo ni eneo la nchi yenye ubalozi husika na ndio maana wanapeperusha bendera ya nchi yao. Sijui umenielewa???
Huwezi kupeperusha bendera ya serikali ambayo haitambuliwi na nchi husika.
 
Nimekuwekea hapo "The Vienna Convention". Nenda kaisome. Msinichoshe na kutokuelewa kwenu. Hili sio darasa.
Hakuna anayepinga unachokisema uko sahihi, lakini ninachopinga ni wewe kukataa kuwa ubalozi wa Syria uliopo urusi umepandisha bendera mpya na ukasema kuwa kuwa ubalozi wa Syria umepandisha bendera Syria wakati ubalozi upo urusi
 
Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya bendera ya taifa hilo katika ubalozi wa nchi hiyo huko Moscow Urusi na bendera hiyo mpya kupandishwa na ya zamani kuteremshwa.

Kwa wanaojua vizuri masuala ya kidiplomasia ni mpaka nchi mwenyeji aridhie balozi ndio mambo mengine yaendelee. Wakati huo huo Assad aliyekua Rais wa Syria nae yupo urusi akiwa kapatiwa hifadhi ya kibinadamu.
Acha tuone mbele kitatokea nini.View attachment 3173096

Acha uongo hapo sio Russia.
 
Mkuu mwenye macho haambiwi tazama, sasa ni wazi kwamba waliochukua nchi Syria ndio wenye ubavu wa kupambana na Israel Assad alikuwa tepetepe, Assad alikuwa hana majibu alipokuwa akishambuliwa na mazayuni sasa wanaume wameishika kambi subiri mziki uanze.,

Ivi wewe huoni kwamba Assad amekuwa laini sana kupinduliwa? Iran walirudisha majeshi yao na jeshi lilokuwa linamlinda Assad pia walitokomea makusudi hakuna ata mzinga mmoja uliolia. Wacha bendera ipandishwe juu mkuu

Mnachekesha Sana. Leo mnamgeuka Assad. Si juzi hapa mlikuwa mnamsifia Urusi alivyokuwa anawalipua Kwa mabomu waasi. Kwa kifupi wapiganaji wa Iran walizidiwa wakakimbia, Urusi naye maji ya shingo mabomu yake hayakufua dafu.
 
Kwenye diplomasia ubalozi unachukuliwa ni territory ya nchi husika sio ile host state. Kwa hivyo waliopandisha bendera ni wa Syria sio urusi.
Kama urusi hautambui ubalozi hakuna wa kulazimisha bendera ipandishwe. Bendera imepandishwa kwa sababu Urusi imekubali ubalozi wa Syria
 
Host country ana Haki ya kukataa balozi ya nchi husika. Kwahiyo kama balozi kapokelewa basi Russia kaitambua Serikali. Hata hapa Tanzania mara kibao serikali imeshakataa kupokea mabalozi wa nchi kadhaa

Balozi ya Syria pale Urusi ni eneo la Syria. Kukubali ubalozi Urusi ilishakubali tangia zamani. Shida yako unataka kuonesha kwamba Urusi ndio wamekubali wapandishe bendera. Wakati ni juzi tu hapa walikuwa wakilipua waasi Kwa mabomu wakazidiwa akili.
 
Usigeuze GIA angani rejea post Yako ya mwanzo umeeleza vizuri kwamba hilo jengo la ubalozi lipo Syria na kwamba hapo siyo Urusi. Ila pia nashukuru kwa kuniitia dogo japo hatuonani basi tupeane heshima tu huwezi kujua labda nimekuzidi umri.

Ni Syria sio Urusi. Urusi haruhusiwi kuingia Hilo eneo bila ruhusa.
 
Sio kweli mipango ilisukwa na ikasukika, Assad alikuwa tepetepe subiri uone kazi, huoni namna Assad alivyopinduliwa kirahisi, Iran walitoa wanajeshi wao na urusia pia walitulia na Assad akapewa maisha Russia yeye na familia yake. bado hujaamka tu?

Acha kumdanganya. Ni juzi hapa Urusi alikuwa akiwarushia mabomu waasi. Urusi na Iran wamezidiwa.
 
Nina wazo...
Kwanini tusitafutane wana jf kama watano hivi alafu tumkamate huyu Kiranga tumpigee weeeeh....

Alafu tunamfunga kamba tunamchapa bakora za mgongoni...
Haiwezekani anatufanya sisi watoto na mambo yake ya mantiki sijui ukweli😄😄😄😄😄😄😄😄😄

 
Back
Top Bottom