Bendera mpya ya Syria yapandishwa Leo katika ubalozi wa nchi hiyo Mjini Moscow Urusi

Mkuuu ukiachana na yote uliyosema, kiukweli natamanig sana kujua mchezo wa chess siju naanzia wapi?!
 
Nilijua una hoja kumbe na wewe una chuki kama walizonazo mayahudi wenzako kwa waislam nenda kazuie basi mayahudi hawatashinda vita
 
Acha kumdanganya. Ni juzi hapa Urusi alikuwa akiwarushia mabomu waasi. Urusi na Iran wamezidiwa.
Kama wamezidiwa mbona Israel na hao LBGTQ wenzako walisema adui yao No.1 ni Iran na Russia kwanini hawapambani nao direct kuwaondoa?
 
Mkuu kwann unasema watanzania bado hawajaamua? Ww si mtanzania kwan?
Hili ni jambo la kitaifa linataka ifikiwe critical mass. Wawepo watu wa kutosha walioamua.

Hata kama kuna baadhi ya Watanzania wameamua, hawajafikia hiyo critical mass inayotakiwa.
 
Lao moja hao, Assad si ajabu kapisha waasi kwa makubaliano maalum!
Mkataa kwao mtumwa, hawezi kuwa mtumwa Urussi!!
Siiajabu pakipoa anarudi zake Syria, chemba anakula kwa mrija tu
 
Ukweli ni kuwa hiyo serikali mpya ya Siria itakuwa pro Russia zaidi, tena pengine kuliko hata ya Assad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…