Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
8,768
Reaction score
3,233
@ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari ya kufika kilele cha Uhuru niliona bendera ya CHADEMA ikipepea.

Kwa mujibu wa taarifa nilizopata toka kwa wapagazi wanaosindikiza wageni kupanda Mlima Kilimanjaro wanaojulikana miongoni mwao kama "wagumu", kutokana na kazi ngumu wanayofanya kusindikiza wageni juu ya mlima huu maarufu, shughuli za CHADEMA zimeanza juu ya Mlima Kilimanjaro miaka mitatu iliyopita.

CHADEMA hawana tawi juu ya Mlima Kilimanjaro ila nilichoshuhudia mimi na jitihada za wana-CHADEMA kupeperusha bendera ya chama chao kwenye sehemu iliyo juu kuliko zote Tanzania. Kambi ya Barafu ipo urefu wa mita 4,600 juu ya usawa wa bahari.

Posted by Madaraka at 7:08 AM
 
Safi sana ipo siku CHADEMA itasambaa kila kona ya nchi!!!
 
napata amani sana na mwedno huu..nina uhakika 2015 kura hazitaibiwa kama hili jizi lilivofanya this time
 
It is a good move and lets go ahead.

Big up wapiganaji wooooote!
PAMOJA TUNATEMBEA
 
Hii ni habari njema kwa waTZ na wanamabadilko kwa ujumla.

Peoples Power.
 
Na CCM WALIVYO WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUKOSA UBUNIFU WATAIGA, WEE SUBIRI TU UONE.
 
Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.
 
Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.

CUF ni chama gani tena? Kile cha waislamu kule visiwani
 
kama imefika kileleni ni ishara ya ushindi kitakuwa juu si unajua mt kilimanjaro is the roof of africa hakuna wa kukishusha ila mungu mwenyewe ccm watangoja sana
 
Katikati ya ziwa viktoria hamjaiona au imezama ? jamani uchaguzi umeisha au hamjaamini bado mna tamaa labda utarudiwa ? Ata kule Pemba tulikuwa tukiweka bendera za CUF juu ya mishelisheli.

Vyama vipo kwa ajili ya uchaguzi ??!!!...Ukomo wako wa kufikiria ndo unaishia hapo?
 
What is a big deal about hoisting a flag at the mountain top. How does the party benefit out of this? let's stop being petty or stooping too low!
 
What is a big deal about hoisting a flag at the mountain top. How does the party benefit out of this? let's stop being petty or stooping too low!
you dont need to show the world your arrogance,You can just read without making a comment, YOU HATER
 
Back
Top Bottom