Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

FUC, kwa ki-madrassa al-jihad, kusoma kwa kurudi nyuma.
Ama kweli hawawi sawa wale enye elimu na wasio kuwa nayo,yaani nyie ndio wale mnaotazama kijiko mkakifananisha na mtu dah pole sana !!
 
Ok, kunapokuwa na changamoto za kisiasa mambo mengi hujitokeza, hasa kunapoonekana kuna kundi la watu wengi limesahaulika.Mimi sishangai kuna mambo mengi yatazidi kutokea. Tusonge mbele!!!
 
safi sana kwa bendera ya chadema kupepea mlima kilimanjaro inaonyesha jinc gani uhuru tulivyo upata na na badaye kikwete na wenzake wakaona siyo muda muafaka wa watanzania kupata uhuru muda huu ila nawasihi wanachedema tukaze buti iko siku tutamiliki dola
 
Back
Top Bottom