Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

Wala tusishangae ukisikia bendera hiyo imeondolewa kwa agizo la CCM, maana hawapendi kuzidiwa!
 
Si kuondolewa tu pia itasemeka aliyeweka atafute kwa maana analeta chokochoko!
 
Si Bendera kuondolewa tu pia itasemeka aliyeiweka atafutwe kwa maana analeta chokochoko ndani ya nchi..Kwa kuweka bendera ya chama ambacho hakipo madarakani...
 
Haya endeleeni na mwendo mdundo ,maana nyie mnaenda mbele jamaa wanakata kushoto na kuwawacha kwenye mwendo mdundo.
 
Froida acha jazba. Imekuuma! You should be ready to hear adverse opinions however bitter they may be lest you be considered as a novice contributor or debater.
 
ZITO NA ARFI NI WAISLAM SAFI KABISA
Na alaaniwe aletaye maneno ya upotovu katika jamii na wote wasem Amina
Na alaaniwe achonganishae watu wa Mungu kwa imani za kidini na wote waseme Amina
Na alaaniwe yeye anaye zani imani yake ni bora kuliko ya mwingine na wote semeni Amina
Na alaaniwe anayetaka kuharibu amani ya nchi yetu ya Tanzania na wote semeni Amina
Na alaaniwe yeye asiyependa amani itawale kati ya watu na wote semeni Amina
Na alaaniwe atakaye ona maoni yangu hayana maana na wote semeni Amina
 
@ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari ya kufika kilele cha Uhuru niliona bendera ya CHADEMA ikipepea.



Kwa mujibu wa taarifa nilizopata toka kwa wapagazi wanaosindikiza wageni kupanda Mlima Kilimanjaro wanaojulikana miongoni mwao kama "wagumu", kutokana na kazi ngumu wanayofanya kusindikiza wageni juu ya mlima huu maarufu, shughuli za CHADEMA zimeanza juu ya Mlima Kilimanjaro miaka mitatu iliyopita.

CHADEMA hawana tawi juu ya Mlima Kilimanjaro ila nilichoshuhudia mimi na jitihada za wana-CHADEMA kupeperusha bendera ya chama chao kwenye sehemu iliyo juu kuliko zote Tanzania. Kambi ya Barafu ipo urefu wa mita 4,600 juu ya usawa wa bahari.

Posted by Madaraka at 7:08 AM

Duh, kweli fikra ndogo, kumbe CHADEMA mwataka uhuru wa bendera !!!!!!!!
 
CCM hawana mchango JF mbali na kupotosha ukweli. Mpaka kieleweke
 
Froida acha jazba. Imekuuma! You should be ready to hear adverse opinions however bitter they may be lest you be considered as a novice contributor or debater.
That was an insult,not the other way round ,i remind you to respect others posts
 
Back
Top Bottom