Kwani chama ndio kimefunia?Aisee...
Kwanini msajili hakifuti hiki chama?
Najua hili likitokea upande wa pili litaleta shida kubwa, tena wahusika watakamatwa na kufilisiwa nami nauliza kwanini hiki chama hakipewi hata karipio tu achilia mbali kufutwa!?
Hawa wameshaharibu hii nchi
Chama cha mapuuzaCCM ni genge la kihalifu
Ataanzaje kwa mfanoAisee...
Kwanini msajili hakifuti hiki chama?
Najua hili likitokea upande wa pili litaleta shida kubwa, tena wahusika watakamatwa na kufilisiwa nami nauliza kwanini hiki chama hakipewi hata karipio tu achilia mbali kufutwa!?
CCM ni kusanyiko la wapumbavu.Chama cha mapuuza
Badala ya kujikanyaga kanyaga jiulize saizi ni wakati gani na Gari lilikuwa wapi?, Jiulize namba ya Gari hilo ulikiisoma itakuongezea nini kwenye Kipato?
Sikutegemea hata siku moja kukutana na mnyakyusa mpumbavu kama wewe!Badala ya kujikanyaga kanyaga jiulize saizi ni wakati gani na Gari lilikuwa wapi?, Jiulize namba ya Gari hilo ulikiisoma itakuongezea nini kwenye Kipato?
Hii ni Tanzania ndugu yangu.Katika hali ya kushangaza na isiyotarajika, kuna picha ya gari iliyonaswa ikipita mitaani huku number plate yake ikiwa imefunikwa na bendera ya ccm!
...Pengine wahusika watoe ufafanuzi hili linawezekana vipi kufanyika?
Askari wa usalama barabarani je wamechukua hatua yoyote kwa mhusika aliyefanya hivyo?
Vipi pengine je aliyefunika hizo number plate kwa bendera kuna kibali alipata cha kufanya hivyo!? Na je huwa mamlaka husika zinatoa vibali vya namna hiyo!?
What if kama chama kingine cha upinzani kikafanya hivyo...!?
Kwa kweli hilo la gari kufunikwa number plate kwa bendera tena ya ccm inaleta ukakasi, hasa kipindi hiki cha kampeni kwa kuwa wahalifu wanaweza kutumia wigo huo kusafiri au kusafirisha vitu ambavyo ni hatari kwa kufunika number plate za magari kwa bendera za ccm ili wasipate vizuizi endapo hili lililojitokeza halitatolewa ufafanuzi na hatua stahili kuchukuliwa!
View attachment 1565484