Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

Kwahiyo unaomba Polisi wa Usalama barabarani walete mrejesho wa hoja zako JF?

Umejaribu kwenda kuwaona hukupata msaada au kujua hatua walixochukua hadi sasa?
 
Wapi nimesema polisi wa usalama walete mrejesho? Bila shaka uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo sana!
Rudia kusoma nilichoandika vizuri uelewe!
 
Katika hali ya kushangaza na isiyotarajika, kuna picha ya gari iliyonaswa ikipita mitaani huku number plate yake ikiwa imefunikwa na bendera ya CCM! Pengine wahusika watoe ufafanuzi hili linawezekana vipi kufanyika? Askari wa usalama barabarani Je wamechukua hatua yoyote kwa mhusika aliyefanya hivyo?

Vipi pengine je aliyefunika hizo number plate kwa bendera kuna kibali alipata cha kufanya hivyo!? Na je huwa mamlaka husika zinatoa vibali vya namna hiyo!? What if kama chama kingine cha upinzani kikafanya hivyo...!?

Kwa kweli hilo la gari kufunikwa number plate kwa bendera tena ya CCM inaleta ukakasi, hasa kipindi hiki cha kampeni kwa kuwa wahalifu wanaweza kutumia wigo huo kusafiri au kusafirisha vitu ambavyo ni hatari kwa kufunika number plate za magari kwa bendera za CCM ili wasipate vizuizi endapo hili lililojitokeza halitatolewa ufafanuzi na hatua stahili kuchukuliwa!

View attachment 1565484
Madaraka ya kulevya ....Ujuaji wa kindezi kiwango cha PhD
 
Wapi nimesema polisi wa usalama walete mrejesho? Bila shaka uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo sana!
Rudia kusoma nilichoandika vizuri uelewe!
Umeandika kama unakimbia unaleta malalamiko sio sehemu sahihi. Unajuaje halijakamatwa au kuhojiwa.

Tumia ubongo wako wote kujenga hoja. Acha kutumia Makalio
 
Sasahivi nchi ineporwa na washamba, mtu akishakuwa kwenye system ya sasa snajifanyia anavyotaka Wakati xamani hata Kama wewe ni usalama wa taifa ulikuwa unafuata sheria Siku hizi watu wanajifanyia wanavyotaka kisa wako na mzeee huuu ni utawala wa ovyo kuwahi kutokea Tanzania sijui tulirogwa na Nani tukamchagua magufuli najuta kura Yangu Ya 2015 niliipoteza
 
Katika hali ya kushangaza na isiyotarajika, kuna picha ya gari iliyonaswa ikipita mitaani huku number plate yake ikiwa imefunikwa na bendera ya CCM! Pengine wahusika watoe ufafanuzi hili linawezekana vipi kufanyika? Askari wa usalama barabarani Je wamechukua hatua yoyote kwa mhusika aliyefanya hivyo?

Vipi pengine je aliyefunika hizo number plate kwa bendera kuna kibali alipata cha kufanya hivyo!? Na je huwa mamlaka husika zinatoa vibali vya namna hiyo!? What if kama chama kingine cha upinzani kikafanya hivyo...!?

Kwa kweli hilo la gari kufunikwa number plate kwa bendera tena ya CCM inaleta ukakasi, hasa kipindi hiki cha kampeni kwa kuwa wahalifu wanaweza kutumia wigo huo kusafiri au kusafirisha vitu ambavyo ni hatari kwa kufunika number plate za magari kwa bendera za CCM ili wasipate vizuizi endapo hili lililojitokeza halitatolewa ufafanuzi na hatua stahili kuchukuliwa!

View attachment 1565484
wakati huu ukitaka kufanikisha jambo lako tembelea nyota ya ccm....
 
Kwahiyo unaomba Polisi wa Usalama barabarani walete mrejesho wa hoja zako JF?

Umejaribu kwenda kuwaona hukupata msaada au kujua hatua walixochukua hadi sasa?
Watu Kama hawa ndio hawa washamba waliokabidhiwa nchi mashamba Sana haya madukuma na Siku kukija kuwa na mabadiliko yatakuja kuimba Poo had vitukuuu vyao vitakuja kupata shida Sana kupata hata kibarua cha kufuagia Uwanja kwenye maeneo Au maofisi ya umma
 
Mmmh
 
Umeandika kama unakimbia unaleta malalamiko sio sehemu sahihi. Unajuaje halijakamatwa au kuhojiwa.

Tumia ubongo wako wote kujenga hoja. Acha kutumia Makalio

...ninaposema unauwezo mdogo wa kung'amua mambo bila shaka ni sahihi kabisa!
Liwe limekamatwa au halijakamatwa kwa uzi huu ulioletwa humu, wenye utimamu wa akili watakuwa washapata ujumbe!
Sasa wewe kazania kusema humu si sehemu sahihi!
...unavyoleta vitusi vyako uchwara ndio unazidi kujidhalilisha bwana mdogo!
Hivi huu uzi ulioleta hapa ni kwa nini usiende kwa mabosi wa hao polisi ukapeleka maoni yako badala yake ukayaleta humu?
IMG_1653.jpg
 
[emoji23][emoji23]🤣akili za CCM mda mwingine sijui wanawazaga nn
Usiongee hivyo, sio Ccm, hicho ni kikundi cha kigaidi kinachoendesha mambo yake ndani Ya serikali kikijiita Ccm Mpya, Ccm ya akina kinana haihusiki na huo ujambazi
 
Back
Top Bottom