Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

Usome vzr. Rudi kwenye mada
 

Sasa si bora kufanya hata hivyo kuweka mabendera na picha kuliko kufunika number plate aisee...
Ila hayo yana mwisho wake tu!!
 
Siku zote CCM Ni majangili katika nchi hii
 
Wapi nimesema polisi wa usalama walete mrejesho? Bila shaka uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo sana!
Rudia kusoma nilichoandika vizuri uelewe!
Bro sisi tunasoma kujibu sio kuelewa. Na ndio mfumo wa elimu yetu
 
Muulize mpiga picha.
 
Muulize mpiga picha.
What if kama ni mimi?
Hapo sijui.

Labda ungewauliza waliokuwamo kwa gari.
 
hujui kwamba gari ya Hpole na pole
 
Hii ni Tanzania ndugu yangu.
Angalia maisha ya watoto wako tu bila shaka bado wadogo, hakikisha wanasoma shule nzuri wapate chakula kizuri n.k
Anafuatilia mambo yasio na tija kwa ustawi wa familia yake
 
Hii ni Tanzania ndugu yangu.
Angalia maisha ya watoto wako tu bila shaka bado wadogo, hakikisha wanasoma shule nzuri wapate chakula kizuri n.k
Kwa hiyo huoni hiyo ni hatari??? Je huoni wahalifu wanaweza tumia fursa kufanya uhalifu kwa kuficha plate Namba!??
Je akimgonga MTU akakimbia itakuaje??? Hivi unadhubutu kutetea kitu cha namna hii!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…