Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Koran si kitabu cha Evidance historia yake ni mbaya sana maana siku mudi alipokikubali kutoka kwa muandishi akapandwa na mashetani akiwa pangoni mkewe Khadija alithibitisha mumewe kupandwa na MASHETANI... so koran haina cha kukutetea wewe kwani ni kitabu cha kutungwa na kimecopy copy vitu vingi vikiwemo vya wayahudi na christian so bora utafute evidance kwingine.... Koran na Bible si vitabu vya kutolea evidance..
Pia Kumbuka Unapozungumzia Mungu ujue ni Mungu wa Wayahudi na sio Allah kwani Allah alishakili kwenye maandiko yenu ya koran kuwa yeye si Mungu...
Uliandika Muhammad SAW kasoma, nikakupa aya ya kukuonyesha hakusoma.
Uliandika Adam AS si Nabii, nimekupa aya kuwa ni Nabii.
Umeshindwa kujibu Ibrahim ni Dini gani, mie nimekupa aya kuwa Ni Muislaam na ni Nabii.
Hizo evidence ziko kwingine wapi ambako wewe umeshindwa kuleta hapa !?
'A L M (hizi ni miongoni mwa herufi zilizotengeneza Kitabu hiki)
'Hiki ni Kitabu (Qur'an) kisichokuwa na shaka ndani yake, na ni uwongofu kwa wachamungu.
Qur'an:2:1-2.
'Hakika Sisi tumembainishia njia Njia (mwanadamu). Ama (awe) ni mwenye kushukuru au mwenye kukufuru.
Qur'an: 76:3.
Mlaleo chaguo ni lako !