Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sign zake ndio MWEZI? so tuelewe Allah ndie Mwezi si ndio... Anaonekana usiku tu na siku nyingine asipomuona jua anakosa mng'aro.... dah nyie endeleeni kuabudu hivyo....
EENH SIKUHIZI humo ndani hambong'oi mnakaa kitako... and then nikufahamishe mimi Sio Roman so huna cha kuniAttack
Sign zake ndio MWEZI? so tuelewe Allah ndie Mwezi si ndio... Anaonekana usiku tu na siku nyingine asipomuona jua anakosa mng'aro.... dah nyie endeleeni kuabudu hivyo....
Sasa hayo mapango ndio anakaa humo? Hebu fuatilia asili ya kabila la quresh ndipo utajua Allah ni nani.... na sio blah blah zako za kudenided Allah Sign siku ukisikia Mungu Mwezi ujue ndie
Hapo ni Misri na humo ndani ya mapango kulikuwa na miungu ya masanamu ! Uwe unaangalia angalau History channel. Hao watu waliyochonga hayo mapango wako wapi ! Hata mchakato wake unausikia ?Sign zake ndio MWEZI? so tuelewe Allah ndie Mwezi si ndio... Anaonekana usiku tu na siku nyingine asipomuona jua anakosa mng'aro.... dah nyie endeleeni kuabudu hivyo....
Sasa hayo mapango ndio anakaa humo? Hebu fuatilia asili ya kabila la quresh ndipo utajua Allah ni nani.... na sio blah blah zako za kudenided Allah Sign siku ukisikia Mungu Mwezi ujue ndie
Hao wamebinuka.. lakini ikija vita wanachezea kichapo everynow and then...'Mtaje katika Kitabu (Qur'an) Ibrahim. hakika yeye alikuwa mkweli, Nabii.
(Ibrahim) Alipomwambia baba yake; Ewe baba yangu ! Kwanini unaabudu visivyo sikia ? na visivyo ona ? na visivyo kufaa chochote ?
Ewe baba yangu ! Kwa yakini imenifikia elimu isiyokufikia wewe. Basi nifuate mimi, nami nitakuongoza kwenye njia iliyo sawa.
Qur'an:41-50
'Hakika mimi (Ibrahim) nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi (ikiwemo nyota na mwezi) wala mimi sio miongoni mwa washirikina (waabudu masanamu na vitu)
Qur'an: 6:79
Na Mola alimwambia (Ibrahim): Silimu (kuwa Muislaam), Nyenyekea ! akajibu: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu woote.
Na Ibrahimu akawausia wanawe (Ismael na Is-haq), na pia Yakobo: Enyi Wanangu ! Hakika wanagu Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii, basi msife ila nanyi mmekuwa Waislaam, wanyenyekevu.
Qur'an:2:130-133.
Mlaleo
View attachment 342911
Baba, umepata kumsikia Socrates na wenzie?Mkuu Maswali yako yapo low sana... Unapozungumzia jina Israel basi unazungumzia Yakobo au Waislam huita Yakub... so Watoto na wazawa wa Yakobo ndio waliitwa Watoto wa Israel ambaye ni Yakobo... so ndio Maana Historia imewazungumzia tokea miaka hiyo 3500 iliyopita hadi leo hii vizazi vyake vipo so hawana Jina lingine zaidi ya hilo la Waisrael damu ni nzito kuliko maji... kama mawazo yako yanaweza kataa hili basi wewe ni mtu mwenye uwezo wa kukataa kila kitu utakachoambiwa hakika... Hawa Jamaa waliweza tunza record zao tokea vizazi vyao.... ila hamna Shida ya wewe kukataa au kukubali au kushangaa.. ila waweza pay a visit maeneo ya middle east kujionea Mambo...
Ukifuatilia sana before miaka 3500 iliyopita yasemekana Wayahudi walitokea Huko Perian na Uturuki na Uturuki ndio yasemekana Safina ilipotamia milimani juu Kwahiyo the first civilization after gharika ilikuwa ni katika nchi ya Uturuki
ka hiyo vingine vinapaswa kuabudiwa pasiipo haki?'Mtaje katika Kitabu (Qur'an) Ibrahim. hakika yeye alikuwa mkweli, Nabii.
(Ibrahim) Alipomwambia baba yake; Ewe baba yangu ! Kwanini unaabudu visivyo sikia ? na visivyo ona ? na visivyo kufaa chochote ?
Ewe baba yangu ! Kwa yakini imenifikia elimu isiyokufikia wewe. Basi nifuate mimi, nami nitakuongoza kwenye njia iliyo sawa.
Qur'an:41-50
'Hakika mimi (Ibrahim) nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi (ikiwemo nyota na mwezi) wala mimi sio miongoni mwa washirikina (waabudu masanamu na vitu)
Qur'an: 6:79
Na Mola alimwambia (Ibrahim): Silimu (kuwa Muislaam), Nyenyekea ! akajibu: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu woote.
Na Ibrahimu akawausia wanawe (Ismael na Is-haq), na pia Yakobo: Enyi Wanangu ! Hakika wanagu Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii, basi msife ila nanyi mmekuwa Waislaam, wanyenyekevu.
Qur'an:2:130-133.
Mlaleo
View attachment 342911
Ni ujinga na upumbavu tu! Wengi husema ni taifa teule la Mungu. Kiuhalisia Israel ya leo siyo ile ikiyotajwa kwenye Biblia. Hawa Waisrael wa leo ni mazayuni washenzi tu hawana hata punje ya uteule.
Bandiwe
Hapo jamaa waliobong'oa wamemsujudia nani mbele yao maana Allah yupo Kaaba... kwenye Nyumba yake... Inachekesha kusika leo kuwa Ibrahim naye aliambiwa asilimu awe Muislam wakati Uislam ulianza miaka zaidi ya Elfu baada ya kifo cha Ibrahim.... ni sawa na kuhifadhi juu kwenye nyumba ya ghorofa 40 ambalo halijajengwa and then unachekelea..... Uislam ni Dini iliyotungwa na Mudi tena baada ya kupokea vitabu viwili vya koran kwa waandishi maarufu waarabu akakichagua kimoja akakiita kitakatifu baada ya kukisoma na kukipenda kile kingine akakiacha... na ushahidi upo... Sasa Ibrahim na uislam wapi na wapi zaidi ya kuwa yeye ni chanzo cha damu ya waarabu wengi...sababu ni watoto wa nje ya Ndoa, yeye uzao wake ni Wayahudi
'kwa nini unaabudu visivyo sikia visivyo ona na visivyo weza kukufaa chochote ?!ka hiyo vingine vinapaswa kuabudiwa pasiipo haki?
The Issue ya kutoelewa haswa inasababishwa na uislam wako hilo ni Moja.... Nikuweke sawa pili sijafundishwa kusoma wala kuamini Sunday School...'Ambao wanao mfuata huyo Mtume (Muhammad), Nabii asiye soma wala kuandika, ( na hao wanao mpinga) wanaye mkuta ameandikwa katika Tourat na Injil...........
'................basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiye jua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake.
Qur'an: 7:157-158
'Ibrahimu hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislaam, wala hakuwa katika washirikina (waabudu masanamu)
Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuate yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa waumini.
Qur'an: 3:67-68.
Mlaleo huko 'Sunday School' walikudanganya.
Jibu haya maswali: Kabla ya Yesu(Ukiristo), waumini walikuwa ni Dini gani ? ......
Ibrahim au Abrahamu ni Nabii ? ....kama jibu ndio, ...je Nabii anaweza kuwa mzinifu mpaka azae watoto wa nje ?
Ibrahim alikuwa na wake wangapi ?
Baba, umepata kumsikia Socrates na wenzie?
Acha uwongo. civilization ianzie kwa wahni wa ottoman empire? hapana mzee. na ugiriki kulikuwa na nini?
Kajipange upya....
Elewa kwanza swali. Israeli iliyotajwa kwenye bible, ndio hiihii ya sasa? Bado upo shallow sana kwenye biblia yako....jua kisa kikaendeleaje, na ikaishiaje. usiishie kwenye introduction pekee....ukazama deep alafu ukajikuta jiniasi
Unaleta mambo ya Socrate mtu aliyeponda kuzungumzia watu...Baba, umepata kumsikia Socrates na wenzie?