Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

Unataka nianike uislam ulipotokea na ulianzaje acha uzushi Majini na Injili ni tofauti kabisa...
Mlaleo

'So direct your face toward the religion (Islaam), inclining to truth. (Adhere to) the fitrah of Allah upon which He has created (all) people (including Adam). No change should be in the creation of Allah. That is the correct religion, but most of the people do not know.
Qur'an: 30:30.
 
Unataka nianike uislam ulipotokea na ulianzaje acha uzushi Majini na Injili ni tofauti kabisa...

Oh mankind, indeed We have created you from male and female and made you nations and tribes that you may know one another. Indeed, the most noble of you in the sight of Allah is the most righteous of you. Indeed, Allah is Knowing and Acquainted.
Qur'an: 49:13.
 
kun

nadhani ni kasumba tu kwa baadhi ya wafuasi wa yesu kudhani bendera ya kizayuni ya israeli inawakilisha israel ya ndani ya biblia takatifu. israel ya leo ni nchi ya mazayuni wabaguzi wakubwa. ni nchi sawa na apartheid south africa.

Haya tuma salamu
 
Mbona hao waisraeli hawabebi bendera za Tanzania. Na haya mambo yanafanyka kwenye nchi za kiafrika maana Marekani PAMOJA NA ushosti wote na Israeli huwezi ona raia wake wakitembea na hizo bendera never ni sisi tu wafuata mkumbo bila kuelewa.
Halafu kuna kitu nakishangaa kwa hawa wakristo wanaobeba hizi bendera maana sio wote. Wanasena wanamuamini YESU Kristo but wanapeperusha bendera za watu wasiomuamini YESU kristo

Kuna siku Wasaudia waliwahi kuja kuhiji Buguruni? Mbona unajichosha wewe!

Lini ulikutana na wanaobeba hizo bendera wakakuambia wanamuamini Yesu Kristo?

Nenda katafute elimu ikupe ufahamu
 
Oh mankind, indeed We have created you from male and female and made you nations and tribes that you may know one another. Indeed, the most noble of you in the sight of Allah is the most righteous of you. Indeed, Allah is Knowing and Acquainted.
Qur'an: 49:13.
Allah kama angekuwa the righteous asingeishi kahaba
Just Islam : Ka'aba The House Of Allah

Mfahamu unayemuabudu historia yake
upload_2016-4-22_20-25-50.jpeg[URL='https://www.google.com/imgres?imgurl=http%3A%2F%2Fmedia.chick.com%2Ftractimages67491%2F0042%2F0042_02.gif&imgrefurl=https%3A%2F%2Fwww.chick.com%2Freading%2Ftracts%2F0042%2F0042_01.asp&docid=SzFeh7RTnGg8jM&tbnid=eCafKuF7ruepkM%3A&w=468&h=240&bih=639&biw=1280&ved=0ahUKEwiZ2o_c4aLMAhWMBBoKHSLaDkIQMwhEKCIwIg&iact=mrc&uact=8']

[URL='https://www.google.com/url?sa=i&rct=j&q=&esrc=s&source=images&cd=&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi--cak46LMAhUEPxoKHUv3DY4QjRwIBw&url=http%3A%2F%2Fwww.billionbibles.org%2Fsharia%2Fallah-moon-god.html&psig=AFQjCNG4WlJrZncH39h939_GtTPQZ-CLyw&ust=1461432224964744']
[/URL][/URL]
Mwezi unaoabudiwa.... Raia wa Russia alifika Mwezini cha kwanza alianza kumtafuta huyo Mungu wa Mwezi alipomkosa akapiga simu na kuwataarifu Hayupo huyo mnaemuabudu
https://www.google.com/imgres?imgur...aLMAhWH1RoKHTAhBW8QMwgbKAAwAA&iact=mrc&uact=8
 
Haya mawazo ndio yana wapa kiburi waiziraeli kukiuka haki za binadamu na kufanya uhalifu wa kivita bila hata kushitakiwa kwasababu wao ni "WATEULE"

If Arabs put downs there weapons there will be an everlasting peace but if Israel put down weapons there will be no Israel
 
Historia ya dini ya Uislam ilianza karne ya 6 hadi 7 baada ya Kristo, na historia ya Dini ya kikristo ilianza miaka 2000 iliyopita. Hayo mengine mnayoyafahamu yanafungamana na dini zenu, ila maana halisi ya ukristo na uislamu ni huyo mtume (Mohammad) kwa Waislamu au Nabii (Yesu) kwa wakristo
Yesu sio nabii ni messiah
 
Wala hakuwa muislam mbona Quran haikuwepo kipindi hicho!
nyiokunda
.......Itakuwepo vipi Qur'an wakati wa zama za Zaburi au Injil !?
Wakati wa Tourat ya Musa watu wake walikuwa Dini gani !?

'(Mwenyezi Mungu) Amekuteremshia Kitabu (Qur'an) kwa Haki, kinachosadikisha yalikuwa kabla yake. Na (Mwenyezi Mungu) aliteremsha Tourat na Injil.

Kabla yake ili ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (upampanuo) ..............

Hakika (kwa) Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, Duniani wala Mbinguni.

Qur'an: 3:2-5.
 
Allah kama angekuwa the righteous asingeishi kahaba
Just Islam : Ka'aba The House Of Allah

Mfahamu unayemuabudu historia yake
View attachment 341698

Mwezi unaoabudiwa.... Raia wa Russia alifika Mwezini cha kwanza alianza kumtafuta huyo Mungu wa Mwezi alipomkosa akapiga simu na kuwataarifu Hayupo huyo mnaemuabudu
Mlaleo
Allah - Madhalim and lier.png
 
nyiokunda
.......Itakuwepo vipi Qur'an wakati wa zama za Zaburi au Injil !?
Wakati wa Tourat ya Musa watu wake walikuwa Dini gani !?

'(Mwenyezi Mungu) Amekuteremshia Kitabu (Qur'an) kwa Haki, kinachosadikisha yalikuwa kabla yake. Na (Mwenyezi Mungu) aliteremsha Tourat na Injil.

Kabla yake ili ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (upampanuo) ..............

Hakika (kwa) Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, Duniani wala Mbinguni.

Qur'an: 3:2-5.
Siamin kitabu cha iman yako ndo maana mnatumia cha kwetu ambacho kimeandikwa kwa lugha zote dunian
 
Ni ulimbukeni. Eti nao wanajionaga kuwa ni waisraeli
Wewe kinakuuma nini? kumbuka siku zote watoto wa nyumba kubwa ndio warithi na sio watoto mwalabu mjakazi. Tatizo ni ugomvi wa nyumba kubwa teule na nyumba ndogo ya mjakazi aliyepekwa kuishi jangwani.
 
Back
Top Bottom