Sisi tunaswali kama Injil inavyosema: Mathayo 6:10, na Luka 4:43.
Qur'an: Surat al Fatihaa:1.
'Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwenye kurehemu. (Baba yetu ilie Mbinguni jina lako litukuzwe)
Sifa zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa Viumbe vyote.
Mwingi wa Rehema na Mwenye Kurehemu.
Mwenye Kumiliki siku ya Malipo (Kiama)
Wewe tu (mwenyezi Mungu Mmoja) ndiye tunae kuabudu, na Wewe tu ndiye tunae kuomba msaada.
Tuongoze katika njia iliyo nyooka (Uislaam)
Njia ya wale ulio waneemesha (manabii na watu wema), siyo ya wale ulio wakasirikia (washirikina na waovu), wala wale walio potea (waabudu sanamu na miungu ya uzushi)
Mlaleo wayahudi wao sala yao imeandikwa wapi !?