Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?


Uliandika Muhammad SAW kasoma, nikakupa aya ya kukuonyesha hakusoma.
Uliandika Adam AS si Nabii, nimekupa aya kuwa ni Nabii.
Umeshindwa kujibu Ibrahim ni Dini gani, mie nimekupa aya kuwa Ni Muislaam na ni Nabii.
Hizo evidence ziko kwingine wapi ambako wewe umeshindwa kuleta hapa !?

'A L M (hizi ni miongoni mwa herufi zilizotengeneza Kitabu hiki)

'Hiki ni Kitabu (Qur'an) kisichokuwa na shaka ndani yake, na ni uwongofu kwa wachamungu.
Qur'an:2:1-2.

'Hakika Sisi tumembainishia njia Njia (mwanadamu). Ama (awe) ni mwenye kushukuru au mwenye kukufuru.
Qur'an: 76:3.


Mlaleo chaguo ni lako !
 
Tafuta maana ya neno BIBLIA kwanza ndo uulize,na baada ya kujua BIBLIA ni nn hautauliza hivo tena
.........ni mkusanyiko wa Vitabu (Biblos-Greek word) ! Na ukisoma hivyo vitabu vilivyokusanywa utakuta kuna Injil ya Yohana, Injil ya Mathayo, Injil ya Luka, Injil ya Marko.
Katika matoleo yote ya Biblia hakuna Injil ya Yesu. Au unayo popbwinyo utuletee hapa !?

Nikiuliza swali, basi ujue nauliza kimsingi......usifikiri sijui ninacho uliza.
 
Hao walio Timamu wanasoma hiyo Koran kwa Lugha ya Kiarabu?
Mlaleo
'Na hakika tumeifanya nyepesi hii (Qur'an) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo wachamungu, na uwaonye kwayo watu wabishi.
Qur'an: 19:97
 
Ingia you tube search how Christians treated in Israel utapata jibu kuwa hawa wakristo esp wa Tz wanajidanganya kuwa Waisrael ni wakristo wenzao
 
Rudi kwe swali lako la awali afu angalia jibu ulilonipa afu uone km kuna huo msingi unaosema upo,wewe sema umependa neno injili ya yesu kwa sababu zako za ubishi,na hata hilo neno lingekuwepo ungezusha lingine maana kilicho ndani yako ni kupinga tu,hebu soma injili zote ulizozitaja afu utuambie zinamuongelea Nani,afu upime km kweli palikuwa na maana kuuliza neno injili ya YESU,

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
We popbwinyo wacha kuwa mjinga kwa ubishi tu !
Soma hilo dude linaitwa Biblia na ndani yake hakuna mahali popote kuna Injil ya Yesu.
Kuna ya akina Marko, Luka, Mathayo, Yohana, ......ya Yesu hakuna.
Kulikuwa na maana gani Biblia kuwataja hao ndo wenye Injili zao !?

Qur'an inasema:
'(Katika mtiririko wa Kuja Manabii Duniani) Na tukawafuatishia hao (Wana wa Israel) Yesu mwana wa Maryam (ili) kuyahakikisha (mafundisho) yaliyokuwa kabla yake katika Tourat, na tukampa Injil iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayosadikisha yaliyokuwa kabla yake katika Tourat, na uwongofu na mawaidha kwa wachamungu.
Qur'an: 5:46.
 
Ebu tuleteeni hyo injili tofauti na yetu
 
Mbona Yale mwandishi ya Kiarabu yamebandikwa kila mahala...
 
Kama huwa wanakuja Tanzania kuhiji basi watakuwa wanayo bendera ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…