Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Iliwekwa kipindi cha mapambo ya independence na kwa sasa inaonyesha defense, ila karne hii kujilinda unajilinda na what is between your ears na sio kutumia mitutu..., and by the way ningeelewa wangeweka Upinde na Mshale na sio Avtomat Kalashnikova 47Ukishajua kwann iliwekwa, huwezi kushauri iondolewe.
Only gun-politics is a suitable means of doing politics in Africa.Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Myopic thinking kudhani kwamba ubora wa dunia na Afrika kwa ujumla unaishia kwenye mipaka yako..., Afya ya majirani zako ni Afya yako na wakimbizi wa mwenzako ni mzigo wako...Mkuu, badala upiganie katiba ya nchi yako sambamba na mifumo mbalimbali ya kiuongozi na kiutawala ambayo haijakaa sawa, unavuka mipaka hadi kwenda kuwasahihisha wana msumbiji ambao wao wanajua kwa nn hiyo AK 47 iko hapo...
Pan africanism is useless ktk dunia ya leo..miaka ya 60 tumetumia rasilimali nyingi kupeleka ukombozi ktk mataifa ambayo leo yanafukuza na kuwapiga watu wetu kama mbweha!Myopic thinking kudhani kwamba ubora wa dunia na Afrika kwa ujumla unaishia kwenye mipaka yako..., Afya ya majirani zako ni Afya yako na wakimbizi wa mwenzako ni mzigo wako...
Sababu kizazi cha sasa hakuna Pan Africanist huwezi kunielewa...
Bendera ni Symbolism; Bendera ndio alama inayoonyesha nchi kwa ufupi (at a glance) sasa sisi watu tunaopenda solidarity na umoja symbolism ya ubabe (be it defense) inapunguza ile kasi ya sisi tunaopenda unity after all kilichopo hapo sio Bunduki Made in Msumbuji (bali AK 47 ya Russia) at best inaonyesha utegemezi hata katika defense yenu...Kwan shida iko wapi..?
Again Myopic thinking..., takupa two qoutes..., An Eye for an Eye will make the whole World go Blind; na Clans can not Defeat Empires... Nchi moja moja Africa will never be able to defeat Developed Countries...; na mpaka sasa Africa is being Marginalized na developed countries kwa kutumia mbinu ya divide and rule.., Yaani even Africa as a Continent hatuna Veto Power United Nations wakati as a Continent we have more countries than any other...Pan africanism is useless ktk dunia ya leo..miaka ya 60 tumetumia rasilimali nyingi kupeleka ukombozi ktk mataifa ambayo leo yanafukuza na kuwapiga watu wetu kama mbweha!
Kinachowaangusha Waafrika (Watu Weusi) ni Akili mbovu.Again Myopic thinking..., takupa two qoutes..., An Eye for an Eye will make the whole World go Blind; na Clans can not Defeat Empires... Nchi moja moja Africa will never be able to defeat Developed Countries...; na mpaka sasa Africa is being Marginalized na developed countries kwa kutumia mbinu ya divide and rule.., Yaani even Africa as a Continent hatuna Veto Power United Nations wakati as a Continent we have more countries than any other...
Ya kwenu isio kuwa na hio ak 47 inasaidia nini nchi?Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ?
Clothes Make the Pirate.... Hii kama hujui uneweza kudhani ni bendera ya wauza ngada....
Hahahah aiseMkuu, badala upiganie katiba ya nchi yako sambamba na mifumo mbalimbali ya kiuongozi na kiutawala ambayo haijakaa sawa, unavuka mipaka hadi kwenda kuwasahihisha wana msumbiji ambao wao wanajua kwa nn hiyo AK 47 iko hapo...