Hili ni wazo kabambe kabisaaa na limekuja wkt mwafaka
AiseeeBendera itabadilishwa baada ya CCM kupigwa chini, Katiba mpya ya Warioba kupitishwa na Muungano kuvunjiliwa mbali..
Na Tanganyika kupata Uhuru na
Kubadilisha jina lake..
Acha jazba jibu hoja usichukie ukweli unaposemwaAnzisha bendera ya nyumbani kwako na uiwekee rangi nyekundu, sisi tumeridhika na iliyopo.
Sure......uko sahihi sanaBendera itabadilishwa baada ya CCM kupigwa chini, Katiba mpya ya Warioba kupitishwa na Muungano kuvunjiliwa mbali..
Na Tanganyika kupata Uhuru na
Kubadilisha jina lake..
Huko ni kuipindisha historia ya ukombozi wa taifa hili. Ukombozi wa taifa hili haukuzia na TANU Kama tunavyodhani. Wako waliopoteza maisha yao kupinga ukoloni. Anaetufundisha kuwa tuliupata Uhuru bila kumwaga damu anatupotosha kwa manufaa yake.Anzisha bendera ya nyumbani kwako na uiwekee rangi nyekundu, sisi tumeridhika na iliyopo.
Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala bora.
Kuna ubaya gani kama bendera yetu ikiwatambua mashujaa hao kwa kuongeza rangi nyekundu japo kwenye kamba ya kupandisha na kushushia bendera au Basi hata kwenye mlingoti wa bendera?
Wakina Mkwawa et al walikufa wakitetea himaya zao, si sahihi kuwa term as nationalistic fighters.Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala bora.
Kuna ubaya gani kama bendera yetu ikiwatambua mashujaa hao kwa kuongeza rangi nyekundu japo kwenye kamba ya kupandisha na kushushia bendera au Basi hata kwenye mlingoti wa bendera?
Historia ya ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar imepotoshwa kaka, inahitajika kuandikwa upya. Kule Zanzibar mapinduzi hakuna aliyekufa? Nani hasa walipindua? Tuandike upya historia yetu jamaniUnaonaje ukaape mahakamani baba ako awe mkwawa
Hayo mababdiliko hayawezi kutokea kwa porojo za mitandaon, ni lazima wawepo watu very very serious wa kujitolea jasho, damu na maji ili kuleta mabadiliko.Bendera itabadilishwa baada ya CCM kupigwa chini, Katiba mpya ya Warioba kupitishwa na Muungano kuvunjiliwa mbali..
Na Tanganyika kupata Uhuru na
Kubadilisha jina lake..
Mmmmh! Basi kusingekuwa na siku ya mashujaa, tungeziacha familia zao ziadhimishe. Ingekuwa hivyo tusingekuwa na majina Kama Lugalo, uwanja wa majimaji, Kalenga, nk.Wakina mkwawa et al walikufa wakitetea himaya zao, si sahihi kuwa term as nationalistic fighters.