kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Sio vema kuwasahau watu waliotufanyia mema. Mungu kupitia damu zao Kuna kitu atafanya kitakachotuongezea ajira na kupata uchumi wa kujengea miundo mbinu yetu.Hiyo rangi nyekundu itaongeza ajira,kuboresha miundombinu,kukuza kilimo n.k?
Ogopa Sana damu ya mtu iliyomwagika kwaajili yako kisha ukamsahau mtu huyo. Kuacha kuweka alama nyekundu kwenye bendera yetu Ni jitihada za kuwakana waliokufa kwaajili ya kulipigania taifa na maisha yetu.