Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala bora.
Kuna ubaya gani kama bendera yetu ikiwatambua mashujaa hao kwa kuongeza rangi nyekundu japo kwenye kamba ya kupandisha na kushushia bendera au Basi hata kwenye mlingoti wa bendera?
Anzisha bendera ya nyumbani kwako na uiwekee rangi nyekundu, sisi tumeridhika na iliyopo.
Jamaa ni mkali sana wa kufikiriaHili ni wazo kabambe kabisaaa na limekuja wkt mwafaka
Hizo ndiyo duwa za watanzania walio wengiBendera itabadilishwa baada ya CCM kupigwa chini, Katiba mpya ya Warioba kupitishwa na Muungano kuvunjiliwa mbali..
Na Tanganyika kupata Uhuru na
Kubadilisha jina lake..
Acha jazba jibu hoja usichukie ukweli unaposemwa
Tatizo la nchi hii ni CCM. Kwa mfano katiba mpya iliyokula mabilion ya watanzania wameiweka kabatini.
Kwani unakataa hakuna waliomwaga damu zao nchi hii kwaajili ya watu wengine?
Huko ni kuipindisha historia ya ukombozi wa taifa hili. Ukombozi wa taifa hili haukuzia na TANU Kama tunavyodhani. Wako waliopoteza maisha yao kupinga ukoloni. Anaetufundisha kuwa tuliupata Uhuru bila kumwaga damu anatupotosha kwa manufaa yake.
Ila bendera yetu ina rangi mbaya sana..
Umeona eee.....Jamaa ni mkali sana wa kufikiria
Imepooza sana, inabidi ifanyiwe marekebisho tuweke hata kichwa cha JIWE pale kitadamshiUnashauri rangi mzuri ziwe zipi mkuu?
Ujumbe naona utakuwa umefika maana hapa jf ni zaidi ya tbcImepooza sana, inabidi ifanyiwe marekebisho tuweke hata kichwa cha JIWE pale kitadamshi
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Wazo zuri sema nchi na vilivyomo ni mali ya Mwenyekiti wa CCM wengine wote ni wapangaji.Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala bora.
Kuna ubaya gani kama bendera yetu ikiwatambua mashujaa hao kwa kuongeza rangi nyekundu japo kwenye kamba ya kupandisha na kushushia bendera au Basi hata kwenye mlingoti wa bendera?
Jina halitabadilika nchi itaitwa Jamhuri ya Tanganyika ilivyoitwa kabla ya Muungano bandia au Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (United Republic of Tanganyika and Zanzibar, Tanzania). Jina lenye maana siyo la sasa ambalo halina maana yoyote kwa kuwa halionyeshi ni nchi gani zimeungana. Katika Awamu hii polisi imeua watu wengi zaidi kwa kisingizio cha ujambazi kuliko wakati wowote toka Uhuru, polisi wengi wameuawa kuliko wakati wowote, wananchi wamepotea bila taarifa wengi kuliko, wengi wametekwa na maiti nyingi zilizochinjwa kuokotwa kwenye viroba, kwa hiyo si vibaya kukumbuka damu iliyomwagika Awamu hii.Bendera itabadilishwa baada ya CCM kupigwa chini, Katiba mpya ya Warioba kupitishwa na Muungano kuvunjiliwa mbali..
Na Tanganyika kupata Uhuru na
Kubadilisha jina lake..