Benedicto IX: papa aliyepata cheo hicho akiwa na miaka kumi na mbili

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Papa benedicto wa tisa alizaliwa katika mji wa roma mwaka 1020 na jina lake la kuzaliwa anaitwa Theophily Tesculu, mtoto wa Ableric wa tatu ambaye alikuwa ni mpwa wa papa benedict wa nane na papa john wa kumi na tisa. Papa benedict alikuwa papa mwaka 1032 akiwa na miaka kumi na mhwili tu. Ni papa wa 145 katika orodha ya mapapa wote Alipata cheo hicho kwa njia zisizo sahihi kwa kuwa alikuwa katika familia ya kipapa. Mtangulizi wake alikuwa papa john wa kumi na tisa. Katika utawala wake ni machafuko matupu. Na mwishowe alitaka cheo hicho ili apate pesa. Mwaka 1044 aliondolewa kwa amri ya kaisari. Aliyemfuata baada ya hapo ni papa sylvester wa tatu
 
kuna faida gani kuwepo kwa papa..?
 
Alizaliwa mwaka 1012, alipata upapa kwa awamu tatu, awamu ya kwanza alikuwa na miaka karibia 20
 
Njaa ni kweli kuna vyazo vinasema kuwa alipata upapa akiwa na miaka 20 kutokana na mkanganyiko wa mwaka wake wa kuzaliwa. lakini vyanzo vya kuaminika kutoka kanisa katoliki vinaeleza kuwa alipata upapa akiwa na miaka 12.
rejea vitabu vifuatavyo
PAPA NI NANI
VATICAN I
VATICAN II
 
Back
Top Bottom