Benin opposition leader Madougou sentenced to 20 years in prison (tulinganishe TZ na Benin!)

3042276_20211221_205250.jpg

huyu bidada alikuwa waziri wa sheria utawala uliopita, alifanya nini kupindua mifumo ya kikandamizaji ya mahakama iliyokuja kumfunga yeye mwenyewe baadae?

hana tofauti na Humphrey Polepole
 
Huyu mama hapo kwenye PC kapigwa 20years huko Benin kwa kosa la ugaidi na kushiriki njama za kuua viongozi wa chama tawala maana yeye ni kiongozi wa upinzani nchini Benin Sasa sipati pcha naisi Mzee Mbowe atapigwa 100yrs .View attachment 2052796
Viongozi wa Afrika wanaigana namna ya kuwashughulikia wapinzani,
 
Si jambo la ajabu kwa Mbowe kula mas mas na mwaka mpya gerezani kwasabu sikukuu nyingi sana awamu ya 5 alikulia Segerea ikiwemo na sikukuuza pasaka na zingine zaserikali.
Sema huko gerezani hajawai kususa chochote mpaka sasa.
 
Afrika kunaudhi Sana, hata unayekuwa unategemea awe mzuri badae anabadilika anakuwa mpuuzi tu na tapeli!

Duh! Sjui tufanyeje jaman!
 
Unajua tatizo nini??? Hao wapinzani kila kitu wanapinga hivyo hata wewe tukikupa URAIS utakuwa katili tu.

Afrika bila hivyo huwezi ONGOZA, Tulimpata KIKWETE hapa, watu humu ndani wengi mkamsema ni DHAIFU, FISADI, NA KILA AINA YA UJINGA.

ULAYA NA MAREKANI HAWAPO HIVYO. Nimefika Nchi kadhaa Ulaya na Marekani ya Kusini sijawahi fika USA, pamoja na yote wenzetu hawana UPINZANI WA KIJINGA kama wakina MBOWE.

Mara unataka uandamane, mara sijui unataka upewe nini nk. Kwa kifupi AFRIKA ili UTAWALE LAZIMA UWE MAFIA HASWA.

Nakumbuka MAMA SAMIA wakati anaapishwa alisema anataka maridhiano na siasa safi, na waungane wajenge nchi, wasahau yaliyopita wasonge mbele. GUESS WHAT..

Mbowe kaitisha mkutano na waandishi wa habari kwamba wameandika barua wakutane na Rais na hawajajibiwa, mara katokea yule CHIZI MDUDE nae kwenye mkutano tena mkuu wa CHAMA anasema wembe aliomnyolea Magufuli atamnyolea MAMA SAMIA.

Mama hakutaka shida na mtu, akatulia tu. Akawa anakutana na makundi tofauti tofauti, mara CHADEMA wakasema haiwezekani mama akutane na hayo makundi wakati wao wameomba waanze wao.

NISEME UKWELI CHADEMA NI CHAMA CHA WAPUMBAVU, WAKABILA, WAJIVUNI, WENYE MATUSI, UKANDA, UDINI, WAZANDIKI.

Mama SAMIA asiwe na wasiwasi sisi wasaidizi wake huku chini TUTAMALIZANA na Hawa VICHAA.
Kwanza hujawahi fika hata hapo Kenya achilia mbali huko Marekani na Ulaya.
Pia wewe ulikuwa mpinzani wa jiwe
 
Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ???

Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in the capital Porto-Novo, following a brief trial that her lawyers condemned as a "political attack".

After more than 20 hours of hearings, Madougou was found guilty of "complicity in terrorist acts" by the Economic Crime and Terrorism Court, which on Tuesday sentenced another key opposition figure to 10 years.
Critics say the court, set up in 2016, has been used by President Patrice Talon's regime to crack down on the opposition and pushed Benin into authoritarianism. View attachment 2040445
Speaking before her prison sentence was announced, Madougou said: "This court has deliberately decided to penalise an innocent person."
"I have never been and I will never be a terrorist," the 47-year-old former justice minister added.
Madougou was one of several opposition leaders banned from running in an election in April in which Talon won a second term with 86 percent of the vote.
She was arrested in the economic capital Cotonou in March -- just weeks before the election -- accused of financing an operation to assassinate political figures to prevent the vote, in an alleged bid to "destabilise" the country.
Tawala za kidikiteta mbinu zao huwa ni mojatu,they read from the same book.
Hayo yalitokea SA wakati wa Mandela,Yalitokea Rwanda,Kagsme alimfunga mpinzsni wake kwa miaka 20,akaachiliwa baada ya miaka 5,
Kule Urusi pia, Vladimir Putin,aliharibu kumuua mpinzsni wake,ikashindikana sasa hv kamfunga yupo jera,
 
Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ???

Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in the capital Porto-Novo, following a brief trial that her lawyers condemned as a "political attack".

After more than 20 hours of hearings, Madougou was found guilty of "complicity in terrorist acts" by the Economic Crime and Terrorism Court, which on Tuesday sentenced another key opposition figure to 10 years.
Critics say the court, set up in 2016, has been used by President Patrice Talon's regime to crack down on the opposition and pushed Benin into authoritarianism. View attachment 2040445
Speaking before her prison sentence was announced, Madougou said: "This court has deliberately decided to penalise an innocent person."
"I have never been and I will never be a terrorist," the 47-year-old former justice minister added.
Madougou was one of several opposition leaders banned from running in an election in April in which Talon won a second term with 86 percent of the vote.
She was arrested in the economic capital Cotonou in March -- just weeks before the election -- accused of financing an operation to assassinate political figures to prevent the vote, in an alleged bid to "destabilise" the country.
Ahadi/ Amri ya kwanza ya CCM ......Afrika ni moja......
 
Back
Top Bottom