Benin opposition leader Madougou sentenced to 20 years in prison (tulinganishe TZ na Benin!)



huyu bidada alikuwa waziri wa sheria utawala uliopita, alifanya nini kupindua mifumo ya kikandamizaji ya mahakama iliyokuja kumfunga yeye mwenyewe baadae?

hana tofauti na Humphrey Polepole
 
Huyu mama hapo kwenye PC kapigwa 20years huko Benin kwa kosa la ugaidi na kushiriki njama za kuua viongozi wa chama tawala maana yeye ni kiongozi wa upinzani nchini Benin Sasa sipati pcha naisi Mzee Mbowe atapigwa 100yrs .View attachment 2052796
Viongozi wa Afrika wanaigana namna ya kuwashughulikia wapinzani,
 
Si jambo la ajabu kwa Mbowe kula mas mas na mwaka mpya gerezani kwasabu sikukuu nyingi sana awamu ya 5 alikulia Segerea ikiwemo na sikukuuza pasaka na zingine zaserikali.
Sema huko gerezani hajawai kususa chochote mpaka sasa.
 
Afrika kunaudhi Sana, hata unayekuwa unategemea awe mzuri badae anabadilika anakuwa mpuuzi tu na tapeli!

Duh! Sjui tufanyeje jaman!
 
Kwanza hujawahi fika hata hapo Kenya achilia mbali huko Marekani na Ulaya.
Pia wewe ulikuwa mpinzani wa jiwe
 
 
Tawala za kidikiteta mbinu zao huwa ni mojatu,they read from the same book.
Hayo yalitokea SA wakati wa Mandela,Yalitokea Rwanda,Kagsme alimfunga mpinzsni wake kwa miaka 20,akaachiliwa baada ya miaka 5,
Kule Urusi pia, Vladimir Putin,aliharibu kumuua mpinzsni wake,ikashindikana sasa hv kamfunga yupo jera,
 
Ahadi/ Amri ya kwanza ya CCM ......Afrika ni moja......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…