Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ngumu kwa Stars itakuwa ya Madagascar huko kwao, hii ya Congo hapa home tunatoboa kwa jinsi navyoona mimi binafsi, ila nguvu zielekezwe kwa mechi zote dhidi ya Congo na MadagascarAkishinda congo atakuwa anaongoza kundi akiwa na alama 8 huku Tanzania tukiwa nafasi ya pili kwa alama 7. Anayeenda hatua inayofuata ni anayeongoza kundi. Hivyo Tanzania tutakuwa tumebakiza mechi ya Dar dhidi ya Congo na mechi ya ugenini dhidi ya Madagascar