Benjamin Asukile: Jeshini hakuna urembo wala Biriani, asema mazoezini hucheza kwa nguvu sana kuliko hata kwenye mechi. Awataka Simba waache kulia

Benjamin Asukile: Jeshini hakuna urembo wala Biriani, asema mazoezini hucheza kwa nguvu sana kuliko hata kwenye mechi. Awataka Simba waache kulia

Unajichosha tu,jeshi ni JWTZ,kama hujapitia huko sikuelewi hata unasema nini.

Kuna wanamgambo wanatumia silaha zote pia hiyo si ajabu.

Kwanza sisi tunazungumzia soka,tukija upande wa watabe huwezi kusikia eti askari magereza anazungumziwa kabisa.Yaani uache kuzungumzia JWTZ uanze kusifu jeshi la magereza?
Magereza wana kambi yao ya maafisa wa daraja la kwanza ipo Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya!

Mafunzo yao ni ya hatari kuliko unavyoweza kuhisi.
Magereza inatumia silaha za aina zote kwa ajili ya ulinzi wa jela (hapa ndipo nitakapopima uelewa wako!)

Magereza ina special force kwa ajili ya kutuliza ghasia inayo-share vitu vingi zaidi na Askari jeshi Military Soldiers inayofahamika kama KM hawa ni sawa na FFU.

Nisijichoshe
 
Mechi ya kwanza prison1-0 simba
Mechi ya pili simba 1-1 prison

Msimu ulioisha

Simba 0-0 prison
Prison 0-0 simba

Wamesuluhu na yanga na azam pia
Sijaelewa unamaanisha nini...lakini point yangu ni kwamba hao hukamia mechi kubwa tu ndo mana hata nafasi kwenye ligi utaiona tu,hufungwa na timu vibonde sana hao.
 
Back
Top Bottom