Benjamin Fernandes Ni nani?

Eeebwanah!!hyo shule waliyosomaa!
 
aiseee aliikataaje hizo mil 400? alisema hataki au hazimtoshi?
 
Na wewe umeishia kuutangazia ulimwengu eti umetembelea "Princenton" na "Standford" na kuwafagalia watoto wa watu kama Karamagi eti wanasoma Harvard. Sasa jiulize nani bora kati yako na Benjamin ambaye angalau ana bragging rights kwa vile amesoma kwa akili yake Stanford na Harvard universities. Ni dharau na wivu tu vinavyokusumbua. Nashauri na wewe ufanye semīna zako nchi nzima kuelezea uliyojifunza ulipotembelea "Princenton" na "Standford" na kukutana na watoto wa akina Karamagi kule Harvard. Ni rukhsa. Its a free world after all.
 
Me ndo kama ivoo mkuu sehemu zangu za kujitapa ndo apa tu....huwezi kunisikoa nikitamba nimesoma no 1 business university dunianI sababu haitamsaidia ntu seminar zangu ndo kama izi kuwashauri vijana wachape kazI waache maneno
 
Kwani huyu jamaa si amekuja na app yake inahusiana na kufanya mambo ya transaction ya pesa inaitwa nala tena nimeiona inatangazwa jukwaa la biashara
 
You can hardly spell in neither English nor Kiswahili, halafu unadai "nimesoma no 1 business university dunianI"? Hebu kitaje hicho chuo ili tupate picha kamili.
 
Kwani huyu jamaa si amekuja na app yake inahusiana na kufanya mambo ya transaction ya pesa inaitwa nala tena nimeiona inatangazwa jukwaa la biashara
E heee Benjaa ivi ndivo vitu tunavotaka kusikia ukivitangaza na ukivipromote sio kwamba umesoma harvard sijui ulikua wa mwisho darasani ila ukaenda stanford. ..personally nimemwona dogo anaongea Mars nyingi sijawahi sikia kuhusu hio nala
 
You can hardly spell in neither English nor Kiswahili, halafu unadai "nimesoma no 1 business university dunianI"? Hebu kitaje hicho chuo ili tupate picha kamili.
Mkuu basi nkwambie chuo nilichosoma hakitakusaidia hata chembe maana nilikua lofa tu nikaambulia scholarship hata nikijitapa Mungu atanipiga makofi. But the main point is young people need to inspire other young people to do more and be a bit realistic. Selling American dreams does not get us out of poverty and it's no one's cup o tea
 
Nala: Ijue benki ya kidijitali kutoka Tanzania

Hebu pitia hii [emoji115]naamini utaipenda
 
hii ndyo really typical ya wabongo chuki, majungu, roho mbaya , wivu
.

cc.@october man
 
hii ndyo really typical ya wabongo chuki, majungu, roho mbaya , wivu
.

cc.@october man
Chuki ya kumwambia jamaa ana potential na apige kazi? hebu tuwe realistic. nani anaktaa mshahara wa million 400 ili arudi Tanzania? kwa mapenzi gani wa nchi yako? hizo story za abunuasi sio za watu wazima dogooo piga kazi piga kazii acha stori za niliacha kazi nzuri marekani hii ni 2018 watu wanapiga simu hadi uko marekani kuulizia data unazotoa kumbe za uongo ndo mana unaambiwa piga kazi acha longo longoo tunajua tunachokiongelea so usione kama tunahate ni ushauri tu anaweza kuuchukua au kuuacha..after all ukiishaamua kuwa public figure kubali kukosolewa unapokosea
 
Mkuu kwani data alizotoa za uongo Ni zipi
 
Mkuu kwani data alizotoa za uongo Ni zipi
google condition za scholarship department of state...na pia ni kazi gani aliiacha ya mamirion ya pesa ebu tuwe wakweli au msemaji wake unatulea mkataba tu-nyamaze maaana mambo ni moto naona nshaanza kuonekana hater kisa kusema kitu ambacho kila mtu anafikiria
 
Samahani mkuu Mimi sio msemaji wake ilihitaji kujua ndio maana nikauliza kuhusu hizo Taarifa za uongo.

Ila bado cjaelewa hapo kuwa data za uongo zinapatika kwa kugoogle condition za........ Sijaelewa

Halafu pia mimi sija kuona hater
Nimependa tu kujua kutoka kwako
 
400m kwa mwaka. izo ni mil 30 na kitu, kwa nje sio nyingi kivile
Hiyo ni kama USD 15K per month. Halafu unasema kwa nje siyo nyingi kivile?!? Kama minimum wage kwa nchi za dunia ya kwanza inacheza kati ya USD 3,000-4,000, sasa 15K kwa mwezi ni pesa ambayo ni kubwa kuliko hata kile University professors earn (kwa wastani prof. Marekani upata around USD 100,000 kwa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…