Benjamin Fernandes Ni nani?

Spelling and grammatical errors and typos kibao. Au ndiyo English ya "Princenton? Hakuna kitu kama "patrioticness". Ni "patriotism". Mzee, hiyo "Princenton" unayodai umeenda seminar itakuwa Online University out of Kosovo. Degree mill, so to speak.
me nimesoma kayumba tu...hata princenton nilienda tu kutembea kule kuingia kutembea na kusafisha macho hata kingereza sio prerequisite. Ila si umeeelewa endiwo?
 
me nimesoma kayumba tu...hata princenton nilienda tu kutembea kule kuingia kutembea na kusafisha macho hata kingereza sio prerequisite. Ila si umeeelewa endiwo?
"kingereza sio prerequisite" Why are writing in your broken English then? Wewe siyo level ya Benjamin. Tafuta size yako bro. Arthurtz amejibu hoja zako zote na ushahidi juu. Hakuna mantiki katika majibu yako, unajikanyagakanyaga tu na kuishia kuimba taarabu. Aibuu! Mzee wa "patrioticness" na "prerequisite" umeumbuka. Wivu mbaya!
 
hapo najua hujaelewa prerequisite maana yake nini mkuuu...alafu kajibu mawazo gani? ya kwamba alikua intern? na yeye ni presenter katika tv ya babake? lol...kuna wata tukionana mtaaani hapa mtatupa shkamo humu jificheni tu na id zenu. unadhani tunaomwambia aache kujikweza hizi data tunatoa wapi? heeheheheeheha labda sio level zangu kweli siwezi fananishwa na kijana entrepreneur asie na product yeyote na anaeringia kusoma Harvard na stanford kwa scholarship kama mie tu hehehehe na wewe pia ni mwanaume jiheshimu acha kulipwa kutetea hoja za kijinga we mwanaume ujue hehehehe
 
Broken English yako ni next level. Hebu kwanza tafsiri hiyo post yako kwa kiingereza sanifu bila "ur" na upuuzi mwingine. Ndiyo tatizo la ku-cram aka rote memorization. Naona huko "Princenton" unakodai ulienda seminar ulisoma "kiingereza sio prerequisite" ukaamua ku cram hiyo phrase uje kutokosha humu kwa ung'eng'e wako.
 
Kwa elim yake ya biashara mbona ameshindwa kuikuzuza king'amuzi cha baba ake?
Naona TING inakufa hvhv
 
Mkuu hii sio vita wala ubishani wa taarabu... kingereza sio kila kitu ila tunakijua vizuri tu na nje tumekaa sana tu heheehhe ni ushauri tu kaka ako anaweza kuchukua au kubakisha ila kataa kutumika kama mwanaume ni aibu sana
Kwanza Benja nimemuelezea vizuri wala sijamuattack unaone eeehh nimemwambia kile watu wanafikiria live bila chenga, kama ana akili nzuri atafuata na kama ataendela ni vema pia akili za kuambiwa changanya na za kwako anyway....wewe unaesifia sababu ya kingereza ni kingereza hiko hiko kinachomuumbua ..walikuepo akina Patrick ngowi waliandikwa weeeee mpaka forbes na zawadi wakapewa kede kede yetu macho watanzania na vingereza vyote leo kiko wapi? kuweni realistic mtakwea aibu.
 
ni mtoto wa mtume fernandes wa agape
 
Hivi kwa nini watanzania in wepesi kudanganywa? Huyu hakukataa mshahara WA $$1790000 au 418M. No way. Rather anatwambia kwamba kwa shule alizosoma..angeamua kubaki US Huo ndo mshahara angelipwa. Na wala hakupata hiyo offer ya Huo mshahara. Ukisoma huo wasifu wake utagundua kwamba kuna exaggeration ya kutosha. Kwa anayeelewa ameliona hili.

Dogo aache ujinga I have my friend (LLM McGill and PhD Harvard) yuko anapambana anatafuta ajira......

Eti first Tanzanian kusoma Harvard? Please get really bwana mdogo.

Anyway bado in bwana mdogo. Akikua reality will catch up with him.
 
Dogo anazingua... Kama mtoa mada ulivyo sema.. Alitakiwa atuonyesha kile alichonufaika nacho huko... Na zaidi akiweke mezani vijana wenzake nao walau wale makombo...
Huyu dogo bana alitutumia dodoso tujibu baadhi ya maswali kwa ajili ya utafiti wake ,lakini baada ya kuyajibu na kumtumia na kufanikisha utafiti wake,hata salamu au shukrani ameshindwa kuitoa kila siku yeye ni kujitafutia maujiko tu,utadhani yeye ndie Mtanzania wa kwanza kusoma hicho chuo,kumbe akina mzee wa vijisenti nao walisoma huko hata Zero wetu nae alienda kusoma chuo hicho.
 
Wakati mzee wa vijisenti alisoma Harvard miaka kibao iliyopita na hata Zero alienda kusoma Harvard,huyo Goa aache ujinga,akawaambie upuuzi huo waumini wa kanisa la baba yake.
 


Umekuja mwenyewe kujipamba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…