3. BENJAMIN NA ENTREPRENEURSHIP.
Mkuu
Selwa Benjamin ni entrepreneur mzuri tuu. Sio mtu wa kawaida kawaida Kama unavyomuelezea kwa kwenye Uzi wako. Tena Ni mtu ambae anafanya vitu kwa mipango na malengo. Unachotakiwa wewe Ni kumshauri sio kusema Kama vile unamshikia akili ama Benjamin hajui nini anafanya. Kabla ya kuandikisha huu Uzi ungemtafuta faragha na kumuuliza haya yote ungeelewa vizuri Sana na ungekuja hapa na aina nyingine ya Uzi kuhusu Benjamin sio huu. Tena mtu mwenyewe msikivu, mpole na mwenye kupokea maoni na ushauri Kutoka kwa watu Kama nyinyi. Sasa Basi ngoja nikukumbushe kitu anamo AUGUST 23, 2015 kabla ya kwenda Stanford Benjamin aliliambia gazette la Citizen hivi.
“ …… I plan to move back home and apply the knowledge and skills I have learned in the US. There in the US there is everything one could want. However, I know that my purpose is to bring home a new hope to a people that desperately need it. Tanzania my love for you is never ending…..”
soma makala yote
FEATURE : Young Tanzanian’s journey to the prestigious Stanford
Miezi Saba baadaye MARCH 22, 2016 baada ya kutunukiwa tuzo ya MBA world Summit aliliambia Tena gazette la Citizen
“..... Once he finishes school, Benjamin plans to launch a financial technology company in Tanzania. He wants to come up with solutions to our biggest socioeconomic problems and finding ways of distributing micro-finance loans to people in rural regions of Tanzania.
“I believe that financial inclusion and access defines the economic growth of a country. I want to work on ways to tackle this issue. After the company goes well and goals are achieved, I would like to get into educational technology to educate those who have access to less. Our country was founded on educational principles and I think this is the best way to empower the next generation…….”.
Usipate taabu hii utaikuta hapa
Award winning business student soars high abroad
Njoo Sasa miezi 10 baada ya kuhitimu (June, 2017) Stanford namno MAY 18, 2018 Benjamin apiga hatua yake ya kwanza katika kile alichataja mwanzoni
“FINANCIAL TECHNOLOGY COMPANY”
kwa kuanza kutuletea NALAmoney Kama bado hujajua kuhusu Nala hebu njoo hapa
Nala: Ijue benki ya kidijitali kutoka Tanzania
na huu Ni mwanzo tuu wa NALA. Hiyo NALA usidhani nayo nikitu Cha kawaida mkuu. Tayari ishampa tuzo ya
Frances and Arjay Miller Award in Social Innovation kwa kazi yake ya ku develop the financial services sector in Tanzania.
Hiyo utaipata hapa
Stanford GSB Recognizes Student Leaders Committed to Social Change
Haya ya NALA na mengineyo mengi ya entrepreneurship tumuachie mwenyewe Benjamin anajua Zaidi. Kwahiyo Kama ulikuwa hujui entrepreneurship ya Benjamin iko wapi kaa usubiri. Sio kusema sema vitu ambavyo huelewi.
Kumbuka pia Benjamin huyu huyu ndiye aliyefanya kazi sehemu hizi
A. Bill and merinda gates foundation
B. Brand director - Tanzania National Stadium
C. Operations manager - TING
D. National TV personality - AGAPE
Kutaja chache tui
4. BENJAMIN NA SEMINAR
Mkuu hili sikupenda kuligusia lakini ngoja Ni njooshe. Umeanza Uzi kwa kusema kuhusu seminar anazofanya Benjamin tena ukadhani kwamba Ni mgeni na macamera Hadi ukaanza kuuliza huko marekani sijui Sasa ngoja nikutoe tongo tongo kidogo
View attachment 784101
View attachment 784102
View attachment 784103
View attachment 784104
Naona hapa utakuwa umepata picha kidogo Benjamin ni Award-winning public speaker and Television Personality. Alianza kutangaza agape tangu Ana miaka 17 huko nyuma, mwaka 2012 alishakuwa presenter kwa TV ya taifa kwenye London olimpics. Usisahau pia FIFA WORLD CUP 2014 kwa TV ya taifa ndio huyu huyu Benjamin.
Kwahiyo fahamu kuwa kuongea kwake mbele za watu Ni passion na kipaji ndani yake. Usianze kupotosha umma kuwa baada ya Kutoka Stanford ndio kaanza kufanya seminar. Kama Ni seminar tu muda Sana na kashafanya nyingine tuu Kama Benjamin Ni mgeni kwako ungeuliza kwa ustaarabu mkuu sio kupalamia palamia tuu
View attachment 784105
View attachment 784106
View attachment 784107
Hizo zote seminar Tena sio bongo hapa.
Hebu fanya uende hapa LinkedIn
https://www.linkedin.com/in/benjaminf7/
Hadi kwenye recommendation utapata kuelewa kitu.
Kuhusu Benjamin ili kesho useme vizuri