Benjamin Fernandes Ni nani?

[emoji336][emoji336][emoji336][emoji336]
wakati umefika Sasa watanzania kutumia vitu Bora vya kitanzania. Na hatunabudi kusupport kazi za watanzania wenzetu

Je, unaijua application ya #NALAmoney

Kwa wale wote ambao tunaotumia
M-PESA, tiGO PESA, Airtel money, nk
1. Kutuma pesa
2. Kutoa pesa kwa wakala
3. Kulipia ving'aamuzi
4. Kununua luku
5. Na miamala mingine

NALA ni njia mpya rahisi, ya haraka na salama ya kufanya miamala yako kwa spidi Kali zaidi
Download hapa. http://bit.ly/2wrfZgU
http://bit.ly/2wrfZgU
http://bit.ly/2wrfZgU
Kisha anza kutumia App ya NALA

1.Huhitaji Tena kupiga
*150*01#
*150*00#
*150*60#
*150*88#
Ili kufanya miamala
2. Huhitaji internet kufanya miamala yako ni app inayofaya kazi bila internet
3. Huhitaji kukumbuka namba yako ya luku, ving'aamuzi Wala dawasco mara baada ya kufanya miamala kwamba mara ya Kwanza
4. Tumia laini zako mbili kwenye app moja
5. Tapa taarifa ya miamala yako yote iliyopangiliwa vizuri ukiwa na Nala
Na mengineyo mengi tuu
Download hapa
http://bit.ly/2wrfZgU
http://bit.ly/2wrfZgU
http://bit.ly/2wrfZgU

Usisahau kushare na rafiki yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sioni tatizo kwake labda sisi watanzania ambao tunamuona hana msaada kwetu, unajua problem yetu wengi wetu hatufikirii nje ya box ndio maana tunamuona jamaa anazingua, labda kwa ufupi tu nikuonyeshe ni jinsi gani huyu kijana ni trillionare wa baadae kwa mfano mdogo tu, kwenye biashara yoyote ile marketing ndio msingi wa mafanikio, huyu dogo katoka kwenye family ya kitajiri,,na kwa mtazamo wa karibu tu family yake inaweza ku invest hata billion 100 kwenye biashara yoyote ile, sasa huyu kukataa milioni 400 sio uzembe, kwa short run na short view ya watu wa kawaida kibiashara huyu ataonekana kawacha bingo, lakini kwa long run hao watu wake ndio wanachokiangalia zaidi, na huyo inawezekana hakutaka mwenyewe kiacha hiyo kazi ila watu wenye upeo wa mbali ambao wanampa backup ndio waliomzuia asichukue hiyo kazi, hebu fikiria hizo semina ishirini tu alizofanya kwa muda mfupi amepata participation ya members wasiopungua 20,000, km unafikiria mbali unaweza kuona ni kwa kiasi gani hiyo kijana anavyotengeneza marketing ya ajabu sana in a few years to come, lets think out of the box.
 
Tatizo tunakuwa na akili za wachumia tumbo , dogo ana vision , na amini usiamini hiyo milioni 400 kwa mwaka ni nothing ukilinganisha na target alizonazo , na familia yake wanampa support .

Hebu fikiria ni mzazi gani unaweza kumwambia kuwa umekataa kazi ya millioni 400 kwa mwaka ?

Hebu tubadilike ajira ni utumwa saa nyingine , akili inakuwa finyu unapokuwa mganga njaa tu , weka targets zako na pambana kuzifikia .

Sasa tulia uone dogo atakavyotengeneza mabilioni ya shilingi huku mkitoa mimacho tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajasiliamali wengi hawafundish ujasiliamali ila wanao fundisha sio wajasiliamali wabongo tuna roho ngumu anajua akikufundisha siku moja utamzidi kumbuka darasan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa NALA anapiga pesa tu, kama ulijua mkuu.
 
Na hatuna uhakika kama ni kweli pia kuwa alikataa mshahara huo.

Alipaswa atuthibitishie kwa kuonesha job contract.
 
huyu dogo si ndo baba yake ndio mwenye stesheni ya ATN??
 
400m kwa mwaka. izo ni mil 30 na kitu, kwa nje sio nyingi kivile
Mkuu tuangalie data halafu tuongee maana tukibishana mwingine atasema yy kaishi huko kumbe fiksi tu. Yaani 400mil /365 sawa na 35mil/30 days ni ndogo kweli!
 
Tusidanganyane hata yeye anajua kuwa hiyo ni hela nyingi tu kwa muajiliwa wa U.S na hasa anaenza maisha na ndio maana anajitapa ingekuwa ndogo asingejitapa hapa bongo kwani watu wanaelewa cost za maisha ya u.s wengi tu! Hapo ni kusema kama anapiga fix kuacha huo mchongo ama anaongea ukweli lakini usiichezee hiyo pesa ukiwa U.S ni kubwa na hutaota kuishi maisha ya kitoto muda mfupi tu unaweza na wewe kufikiria kumiliki nyumba ya wastani kama sio mtu wa starehe.
 

Kurudi Tanzania kumewashangaza wengi?hivi unafikiri Marekani ni rahisi rahisi tu kwa kuwa eti umegraduate Stanford na Harvard,mtu akifanya internship munaita kuajiriwa kazi.Watanzania hatuishi vituko.
 
Huyo ni muongo hata baba yake alikuja USA na akaomba achangiwe,angekuwa nazo asingepitisha bakuli.yeye kaona fursa zipo Bongo.Ukiwa mtoto wa baba/mama maisha ya ughaibuni kuishi ni tabu ndio maana wengi wanaishia kuwa mateja au hukimbilia kurudi Bongo na baba. zao kuwafanyia dili ya kuajiriwa kwenye mabenki na kampuni za simu.
 
waligundua nini
 
Kwenda Harvard sio ishu tuonyeshe umefanya nini huku mtaani
 
nimechukua mastrs ya macro economy london school of economy huwezi amini head of department ni mhaya walosoma hapo watamjua jamaa yupo sooo down to earth na mm nilivorudi bongo na masters yangu nauza duka kumanina elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…