Benjamin Mkapa stadium kuwa Olympic Stadium badala ya Football stadium ni kuwadhulumu mashabiki wa soka Tanzania

Mchezo gani mwingine umewahi kufanyika pale tofauti na football? hata hiyo riadha lini imewahi kujaza hata nusu ya uwanja?
Mkesha wa Mwamposa ulijaa.
Diamond's event ukijaa na kutapika
Mashindano ya kuhifadhi Kur'an,ulijaa hadi pomoni.
My issue ni kwamba ni uwanja wa Taifa letu. Yeyote anaweza kuutumia
 
Uwanja wa Taifa wa Football
Ni wa TFF
Ni uwanja wa nyumbani wa Taifa stars
Kuna ubaya tukiwa na uwanja wa aina hiyo kama ilivyo Wembley?

Hiyo michezo mingine ikiwa na viwanja vyao pia sio mbaya. By the way, mchezo gani mwingine mkubwa na wa maana unaoweza kufanyika kwa Mkapa ukiacha riadha ambayo tangu uwanja ujengwe hakuna major event iliyowahi kuujaza uwanja?

Uwanja wa Taifa sio mali ya TFF. Bali Ni mali ya uma. Chini ya custody ya rais

Hata TFF wenyewe hawajui hata idadi ya nondo ama cement zilizotumika kuujenga
 
Mkesha wa Mwamposa ulijaa.
Diamond's event ukijaa na kutapika
Mashindano ya kuhifadhi Kur'an,ulijaa hadi pomoni.
My issue ni kwamba ni uwanja wa Taifa letu. Yeyote anaweza kuutumia
Mchezo wa mkesha wa Mwamposa ni upi?
Mchezo wa kuhifadhi kuran ndiyo mchezo gani?

Hii ni aibu kama taifa, Hilo ndilo lengo la kujengwa uwanja wa michezo?
 
Uwanja wa Taifa sio mali ya TFF. Bali Ni mali ya uma. Chini ya custody ya rais

Hata TFF wenyewe hawajui hata idadi ya nondo ama cement zilizotumika kuujenga
Nimesema kuna ubaya gani siku Tanzania ikiwa na uwanja mkubwa wa soka ambao utakuwa chini ya TFF na utakuwa uwanja wa nyumbani wa Taifa stars? kama ilivyo Wembley uingereza.
 
Uwanja ni wa Taifa.....
Si wa TFF wala Taifa stars, wala wa Team yoyote ya mpira.
Taifa lina michezo mingi si soka pekee.
Ni ubinafsi kudhani soka ndio mchezo pekee

NA HUU NDO UKWELI. NDIYO MAANA UKAITWA UWANJA WA TAIFA. sio uwanja wa wazee wa kuhongwa milioni 700 pekee hata wanariadha pale ni kwao.

Ule uwanja kutumika kwa shughuli za kina mwamposa au shughuli za kisiasa au kupendelewa wacheza mpira tu ni kuupotezea hadhi yake ya michezo.
 
Mchezo wa mkesha wa Mwamposa ni upi?
Mchezo wa kuhifadhi kuran ndiyo mchezo gani?

Hii ni aibu kama taifa, Hilo ndilo lengo la kujengwa uwanja wa michez
Pamoja na michezo shughuli hizo zinaweza kufanyika humo na wala haikatazwi. Kwa taarifa yako shughuli hizo ziliujaza uwanja na haukutosha
 
View attachment 3166465
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa. Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa. Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau VIP A itakulazimu kutumia darubini kuweza kuwaona vyema wachezaji na movement za mpira, Hata timu pinzani zinapokuja kucheza kwa Mkapa wananufaika sana na umbali uliopo kati ya pitch na mashabiki.

Katika ulimwengu wa sasa ambapo mchezo wa soka unakuwa sana, nchi zilizoendelea katika soka hawatumii olympic stadiums, ni mara chache sana kukuta timu kubwa zikicheza katika viwanja vyenye running tracks.
Tanzania inahitaji walau uwanja mmoja mkubwa mahsusi kwa ajili ya football. Mambo ya Olympic stadiums yameshapitwa na wakati. Ndiyo maana mashabiki wanalazimika kubeba mavuvuzela ili walau sauti za kushangilia zifike mbali kwa sababu distance ya siti zilipo mpaka pitch ilipo ni mbali. Mashabiki hawawezi kuimba kwa hamasa na umoja kama tunavyoona mashabiki wa timu zingine za huko ulaya au nchi za North Africa kwa sababu ya umbali kati yao, hakuna umoja na ukaribu uwanjani, wanaishia kupuliza mavuvuzela. Jambo ambalo kiujumla ni faida kwa timu za upinzani zinapokuja kucheza Tanzania.
View attachment 3166474
Akili fupi
 
Lengo la uwanja ni nini? kwa hiyo uwanja umewekewa running tracks kwa ajili ya mwamposa kukatiza huku mashabiki wa soka wakikaa maili 100 nyuma ya pitch?
 
Nimesema kuna ubaya gani siku Tanzania ikiwa na uwanja mkubwa wa soka ambao utakuwa chini ya TFF na utakuwa uwanja wa nyumbani wa Taifa stars? kama ilivyo Wembley uingereza.

Nimesema kuna ubaya gani siku Tanzania ikiwa na uwanja mkubwa wa soka ambao utakuwa chini ya TFF na utakuwa uwanja wa nyumbani wa Taifa stars? kama ilivyo Wembley uingereza.

Huo uwanja wa wembley ulioutaja huwa unatumika kwenye riadha pia na rugby pia, na michezo mingine zaidi ya mpira wa miguu
 
imesaidia kiasi gani kuinua michezo mingine ya olympic? kuna mchezo wowote mkubwa wa kiolympic umewahi kufanyika hapo?
Wewe toa hela ukajenge uwanja wa mpira tu,wewe umelisaidia nini taifa kukusomesha bure elimu ya msingi pengine na sekondari?...zaidi zaidi umefanya ngono zembe,ukapata ukimwi na sasa serikali inaingia gharama kukutibu kwa arv japo ilikupa elimu kuhusu ukimwi
 
Lengo la uwanja ni nini? kwa hiyo uwanja umewekewa running tracks kwa ajili ya mwamposa kukatiza huku mashabiki wa soka wakikaa maili 100 nyuma ya pitch?
Stadium is not for football games only. It is for different sports.
Sports ni nyingi mnoo mf bao,drafts, athletics, netball,boxing, uimbaji, theatre arts?nk,nk
 
Point yangu ni kwamba, hiyo michezo mingine kwa sasa haina ukubwa huo, mfano mpaka sasa, hakuna major internation event ya olympic iliyohusisha riadha kiasi cha kuujaza uwanja, Ila tangu ujengwe kumekuwa na mechi nyingi mno za soka za kimataifa na zimejaza uwanja. My point is, kama walijua tangu mwanzo kwamba hakuna mchezo wa riadha, netball sijui theatre arts ambao ungejaza uwanja kwa miaka 10,20 ijayo kulikuwa na haja gani kuharakisha ujenzi wa space zisizokuwa na umuhimu, wakati huo mashabiki wa soka ambao wanajaza na wanautumia mara kwa mara hawaenjoy football kutokana na umbali wa pitch?
 
View attachment 3166465
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa. Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa. Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau VIP A itakulazimu kutumia darubini kuweza kuwaona vyema wachezaji na movement za mpira, Hata timu pinzani zinapokuja kucheza kwa Mkapa wananufaika sana na umbali uliopo kati ya pitch na mashabiki.

Katika ulimwengu wa sasa ambapo mchezo wa soka unakuwa sana, nchi zilizoendelea katika soka hawatumii olympic stadiums, ni mara chache sana kukuta timu kubwa zikicheza katika viwanja vyenye running tracks.
Tanzania inahitaji walau uwanja mmoja mkubwa mahsusi kwa ajili ya football. Mambo ya Olympic stadiums yameshapitwa na wakati. Ndiyo maana mashabiki wanalazimika kubeba mavuvuzela ili walau sauti za kushangilia zifike mbali kwa sababu distance ya siti zilipo mpaka pitch ilipo ni mbali. Mashabiki hawawezi kuimba kwa hamasa na umoja kama tunavyoona mashabiki wa timu zingine za huko ulaya au nchi za North Africa kwa sababu ya umbali kati yao, hakuna umoja na ukaribu uwanjani, wanaishia kupuliza mavuvuzela. Jambo ambalo kiujumla ni faida kwa timu za upinzani zinapokuja kucheza Tanzania.
View attachment 3166474
Unajua wanariadha wa Kenya wana make kaisi gani kwa mwaka kupitia riadha? Hii nchi imejaaa majinga majibga tupu, akili huna ila una force uonekane unazo.
 
Mchezo gani wa riadha umewahi kujaza hata robo ya uwanja? kama hakuna, zile running tracks ni za kazi gani? cricket? volleyball? mchezo gani umewahi kujaza uwanja hapo?
We mnmjinga kasome hata Wembly hautumiki kwa mpira wa miguu pekee, sijui kama mnazo akili
 
Point yangu ni kwamba, hiyo michezo mingine kwa sasa haina ukubwa huo, mfano mpaka sasa, hakuna major internation event ya olympic iliyohusisha riadha kiasi cha kuujaza uwanja, Ila tangu ujengwe kumekuwa na mechi nyingi mno za soka za kimataifa na zimejaza uwanja. My point is, kama walijua tangu mwanzo kwamba hakuna mchezo wa riadha, netball sijui theatre arts ambao ungejaza uwanja kwa miaka 10,20 ijayo kulikuwa na haja gani kuharakisha ujenzi wa space zisizokuwa na umuhimu, wakati huo mashabiki wa soka ambao wanajaza na wanautumia mara kwa mara hawaenjoy football kutokana na umbali wa pitch?
KWani riadha ni kwa ajili ya Olympic pekee?
 
Back
Top Bottom