Benjamin Mkapa stadium kuwa Olympic Stadium badala ya Football stadium ni kuwadhulumu mashabiki wa soka Tanzania

Benjamin Mkapa stadium kuwa Olympic Stadium badala ya Football stadium ni kuwadhulumu mashabiki wa soka Tanzania

Unajua wanariadha wa Kenya wana make kaisi gani kwa mwaka kupitia riadha? Hii nchi imejaaa majinga majibga tupu, akili huna ila una force uonekane unazo.
Kwa hiyo kama wakenya wanatengeneza pesa kupitia riadha, kuacha running tracks bila matumizi ndiyo solution? Inaonekana lishe duni, elimu au maradhi imekuwa changamoto iliyoathiri moja kwa moja uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom