fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
haihusuHana acc humu wala hajui hiki kilugha
YAMEKUWA HAYA TENA? BADO HATUJASEMA.Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
acha ujinga hakuna Mungu anayeruhusu huu uovuUngewalaumu HAMASI kwanza. Kipindi Hamasi wanaua wayahudi mliimba alahakbari, fimbo ilipogeuka mnaanza kulaani wanaojitetea.
Mungu wa Israel ni Mungu wa Majeshi. Vita ni sehemu ya maisha ya wateule.
ipo siku yake tutazamana hapaYAMEKUWA HAYA TENA? BADO HATUJASEMA.
acha ujinga wewe kabla ya octoba 7 unajua uovu waliofanyiwa wapalestina?Walijiapiza mno kuifuta Israel katika uso wa dunia. Wakaapa, na kuapa na kujiapiza tena. Wakaandaa vikosi kweli kweli - Hamas, Hezbollah, Houthi na kubwa lao kule mashariki kwa mamajusi!
Oktoba 7 waka-test mitambo wakaua 1,200 ndani ya usiku mmoja raia wasio na hatia. Jemadari Netanyahu the Custodian of the Holy Land angefanyaje? Au ungekuwa wewe ndiye kiongozi ungefanyaje kwa watu wako wasio na hatia kuuliwa?
Wacha unafiki! Kazi anayotekeleza Netanyahu moja kazi bora kabisa kwa nafasi yake; kazi ambayo mtawala yeyote angefanya kwa uhuni ule wa Oktoba 7.
BADO HATUJASEMA. MPAKA TUSEME.acha ujinga weae kabla ya octoba 7 unajua uovu waliofanyiwa wapalestina?
Peleka huko kwenye taraweya mkamjadili huko hapa unatujazia seva tuu. Au msomeeni ili kurujuani yenu kama inafanya kaziKwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
Hawatorudia tena! Washenzi kabisa.BADO HATUJASEMA. MPAKA TUSEME.
acha upuuzi jadili mada usione mtu kaandika kitu unakimbilia udini mimi ni mkatoliki pure,msitetee ushetaniPeleka huko kwenye taraweya mkamjadili huko hapa unatujazia seva tuu. Au msomeeni ili kurujuani yenu kama inafanya kazi
๐๐๐Kama nakuona ulivo....haihusu
wewe hujui chochote,ni ushabiki wa kijinga ndio unaokutuma kuandika upuuzi huuWalijiapiza mno kuifuta Israel katika uso wa dunia. Wakaapa, na kuapa na kujiapiza tena. Wakaandaa vikosi kweli kweli - Hamas, Hezbollah, Houthi na kubwa lao kule mashariki kwa mamajusi!
Oktoba 7 waka-test mitambo wakaua 1,200 ndani ya usiku mmoja raia wasio na hatia. Jemadari Netanyahu the Custodian of the Holy Land angefanyaje? Au ungekuwa wewe ndiye kiongozi ungefanyaje kwa watu wako wasio na hatia kuuliwa?
Wacha unafiki! Kazi anayotekeleza Netanyahu moja kazi bora kabisa kwa nafasi yake; kazi ambayo mtawala yeyote angefanya kwa uhuni ule wa Oktoba 7.
unione au usinione wapalestina Mungu atawalipis siku moja๐๐๐Kama nakuona ulivo....