Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye mimba,vikongwe hakika Mungu anakuona siku yako ipo karibu
unamlaani bure, walaani waliosababisha netanyahu aingie vitani kufagia magaidi, mbaya zaidi magaidi wanajificha kwa watoto, wanawake na wazee, hatari sana
 
Peleka huko kwenye taraweya mkamjadili huko hapa unatujazia seva tuu. Au msomeeni ili kurujuani yenu kama inafanya kazi
Tatizo lako ni kuvimbewa ugali wa juzi ndio maana huwezi kujua haki ni nini unawaza mavi
 
NDugu unatabisha moyo wako kwa watu ambayo si nasaba yako, ndugu zao hapo me wanakula maisha we kajamba nani ndio unawajali sana, kila mtu huvuna alichopanda, subiri mavuno yatimie.
 
Hayo si ndio maneno mnayofundishwa huko madrasa? Sishangai maana mkiishiwa hoja ndio defence zenu dhaifu
wewe huna akili,madrasa inahusu nini hapa,kama hamas waliua wayahudi inahusu nini watoto wadogo wakipalestina? wazee,waandishi wa habari,madokta,manesi? acheni upuuzi tujadili haki
 
NDugu unatabisha moyo wako kwa watu ambayo si nasaba yako, ndugu zao hapo me wanakula maisha we kajamba nani ndio unawajali sana, kila mtu huvuna alichopanda, subiri mavuno yatimie.
hoja sio nasaba,hoja ni haki ya wapelestina,kwani wewe wayahudi una nasaba nao mbona umejibu hapa?
 
unamlaani bure, walaani waliosababisha netanyahu aingie vitani kufagia magaidi, mbaya zaidi magaidi wanajificha kwa watoto, wanawake na wazee, hatari sana
unajua jinsi wapalestina wameonewa,wamedhulumiwa haki zao,wameuawa mwaka hadi mwaka? jiulize hamas imeanzishwa kwanini?
 
Kwa utumishi uliotukuka wa Benjamini Netanyau kwa taifa la Israel, Mungu amependezwa naye. Netanyau hatokufa bali atapalizwa Mbinguni Roho na Mwili.
Hakuna taifa la Mungu,mataifa yote ni ya Mungu,ni ujinga na upumbavu kudhani kwamba kuna taifa la Mungu na mataifa mengine ni ya shetani?
 
Tatizo lako ni kuvimbewa ugali wa juzi ndio maana huwezi kujua haki ni nini unawaza

wewe huna akili,madrasa inahusu nini hapa,kama hamas waliua wayahudi inahusu nini watoto wadogo wakipalestina? wazee,waandishi wa habari,madokta,manesi? acheni upuuzi tujadili haki
Uo uharo wako kaarishie mbali. Walimchokoza wa nini mtu alikuwa ametulia mnakuja kuteka vijana wao wadogo wakiwa disco na kuwaua wakiwemo vijana wawili wa kitanzania halafu mnapigana kwa kuwatanguliza wanawake na watoto mbele ili mpate attention ya jamii ya kimataifa?
 
Back
Top Bottom