Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

Benjamin Natanyahu: kaburi lako halitajaa mchanga

Kwa mujibu wa andiko lako ni kwamba huko palestina hakuna wanaume wanaouliwa? Ukitoa hao wataaluma uliowataja.👰👩‍🚀👰👰👰👰
 
Kwani Hama's na Hezbollah pamoja na jangiri mwenzao Iran wameshindwa kumpeleka kwenye kaburi ambalo halitajaa mchanga?.
 
Nyie magaidi si mlijiapiza kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia,sasa laana za nini tena?
Ila mwaka huu mlichofanyiwa hamtokaa muichokoze tena Israeli.
 
Mkuu bado sana iran anasubiria kuliwa kama mwali mbichi.
 
Hakuna kitu kama hicho. Tuna maliza mwaka sasa tangu kidume aanze kutembeza kichapo.Je huyo mungu alienda likizo au bado amelala?
Siku ambayo Mungu atajibu wewe au mimi sitajua,ila kwa kuwa wewe unamdhihaki atakujibu wewe kwa kupoteza kila situ na ndipo atapolia kilio cha hatari shubamiti
 
kwani kama hamas walifanya huo uovu kwanini wayahudi wanaua watoto? waandishi wa habari? madokta? manesi? wazee? acheni ujinga nyie kutetea uovu
Wewe ulitaka wauawe kina nani? Kama hamas waliua watoto, waandishi, wazee, matabibu n.k wa kiyahudi ile Oct7 basi ni sawa kwa IDF kuua makundi hayo kwa upande wa Palestina. Vita haina macho, kwahiyo ukianzisha vita tegemea lolote.
 
una takwimu hamas waliua waandishi? au umevimbiwa ugali wa mhogo?
 
Back
Top Bottom