Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
?Sikushangai, ndiyo juishiwa kwenyewe huko..
Huko akhera kuna kundi moja mabikra wako 71 hivyo amepungua moja hivyo unatakiwa uende Lebanon ukamfie allah kusudi ukajaze hiyo nafasi ili idadi ya mabikra itimie.Sikushangai, ndiyo juishiwa kwenyewe huko..
Magofu na Hamas kusumbua kunafananaje!?Kwamba Hamas wnasumbua 🤣🤣🤣 hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Usinichoshe mm nianze kuwatetea kama vile nina hisa kwenye ivo vikundiHamas
Hamas, alqaed, bokoharam, Isis, taleban, Islamic jihad, Hezbollah, Houth ni makundi ya magaidi yenye mlengo wa kidini.
Hayana tofauti na lengo lao ni kupigania dini ya mnyaazi mungu
Ni kazi ngumu kutetea ugaidiUsinichoshe mm nianze kuwatetea kama vile nina hisa kwenye ivo vikundi
Hata Gaza mlisema hivyo hivyoKwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika
Nasrallah kawagomea mpaka kula kagomaaaMazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Kwamba wewe unajua zaidi intelligence kuwazidi IDF na Mossaid? StupidKwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika
Hebu rudia tena kuandika mama, umesema Mazayuni na Nasrallah wamefanyaje?Mazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Ni baada ya kuona thamani yaoHawahitaji hata kuwashawishi, hao ndiyo waliwahamishia kutika Ulaya na kuwaweka hapo Palestina. Waliwaahidi watawalinda.
Tena kwanza ilikuwa wahamishiwe Uganda.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Vipi Nasrallah anaendelea kugombea mariadhiano na WA Israel ???Mazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Hahaaaa!!ila watu mna roho ngumu!!kipindi kile mlisema ole wake awaguse hesbora ndio utakuwa mwisho wakr,ila Netanyau ni mwanaumeeKwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika
Hizo ni fikra zako finyu zisizo na mbele wala nyuma.Wote hao wana mali ila furaha hawana, hawana kwa sababu malengo yao ya hapa duniani (kuifuta Israel na Wakristu) ni imposible kutimia, hata wawe na mali vipi hawawezi kuwa na furaha, raha ya waislamu ni kuwa na mamlaka hapa duniani, kwa kuwa hawayapati wanaamua kujilipua.
Wanataka kila mtu awe miserable kama wao.
Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!Hizo ni fikra zako finyu zisizo na mbele wala nyuma.
Hakuna muislam ambaye anahangaika na dini za wengine.
Unataka kusema wewe na raia wa Brunei wewe una maisha mazuri kuliko raia wa Brunei!??
Mkuu embu acha bange maana unaropoka Sasa Tena unaropoka hovyo.
Hakuna Muislamu anachuki na asie muislamu, lakini ambao sio waislamu wanachuki na waislamu hasa walioshika dini, kwa sababu ya maadili yao.Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!
Sio kweli,uislam hauruhusu chuki.Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!
Mkuu Uislamu mnavyouandika ni mtamu sana, ila Matendo tunayoyaona ni tofauti kabisa!Sio kweli,uislam hauruhusu chuki.
Hao waislam ulokutana nao wewe halafu wakawa wana chuki dhidi ya Imani zingine watakua watu wa itikadi.
Na uislam haupendi itikadi.