Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Sikushangai, ndiyo juishiwa kwenyewe huko..
Huko akhera kuna kundi moja mabikra wako 71 hivyo amepungua moja hivyo unatakiwa uende Lebanon ukamfie allah kusudi ukajaze hiyo nafasi ili idadi ya mabikra itimie.
 
Kwamba Hamas wnasumbua 🤣🤣🤣 hii dini inawadanganya sana!! Gaza ni magofu matupu wewe unakuja na ngonjera hizo? Huna akili
Magofu na Hamas kusumbua kunafananaje!?
Mbona unafikiri kama bata mzinga!?
Hivi unajua hapo Gaza unapopadharau pamewapa wanajeshi 70,000 wa Israel ulemavu wa kudumu!??
 
Hamas

Hamas, alqaed, bokoharam, Isis, taleban, Islamic jihad, Hezbollah, Houth ni makundi ya magaidi yenye mlengo wa kidini.
Hayana tofauti na lengo lao ni kupigania dini ya mnyaazi mungu
Usinichoshe mm nianze kuwatetea kama vile nina hisa kwenye ivo vikundi
 
Siku kadha siku fuatilia humu, na nisipofuatilia humu sifuati update popote.

Lastly nakumbuka hawa Israel walikua wanapigana na Hamas & Iran, Hii iliishia wapi? Huko walimaliza?,
Ghafla jana nakuta vita na Hezbollah, ilianza lini? Kivipi?
 
Mazayuni ni waongo wa ajabu.

Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.

Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Nasrallah kawagomea mpaka kula kagomaaa
 
Mazayuni ni waongo wa ajabu.

Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.

Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Hebu rudia tena kuandika mama, umesema Mazayuni na Nasrallah wamefanyaje?
 
Hawahitaji hata kuwashawishi, hao ndiyo waliwahamishia kutika Ulaya na kuwaweka hapo Palestina. Waliwaahidi watawalinda.
Tena kwanza ilikuwa wahamishiwe Uganda.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ni baada ya kuona thamani yao
Huwezi kulinda kisicho thamani
 
Mazayuni ni waongo wa ajabu.

Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.

Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Vipi Nasrallah anaendelea kugombea mariadhiano na WA Israel ???
 
Huu uzi wote walikuwa wanasema nasrallah ni jabali wanaupita kimya kimya kama hawauoni
 
Wote hao wana mali ila furaha hawana, hawana kwa sababu malengo yao ya hapa duniani (kuifuta Israel na Wakristu) ni imposible kutimia, hata wawe na mali vipi hawawezi kuwa na furaha, raha ya waislamu ni kuwa na mamlaka hapa duniani, kwa kuwa hawayapati wanaamua kujilipua.

Wanataka kila mtu awe miserable kama wao.
Hizo ni fikra zako finyu zisizo na mbele wala nyuma.
Hakuna muislam ambaye anahangaika na dini za wengine.
Unataka kusema wewe na raia wa Brunei wewe una maisha mazuri kuliko raia wa Brunei!??
Mkuu embu acha bange maana unaropoka Sasa Tena unaropoka hovyo.
 
Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!
 
Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!
Hakuna Muislamu anachuki na asie muislamu, lakini ambao sio waislamu wanachuki na waislamu hasa walioshika dini, kwa sababu ya maadili yao.
 
Kwanini Waislamu mna chuki ndugu Kosugi? Unaweza kuta sie sote Wahaya ila kisa mie Mpagani unakuwa unanichukia!
Sio kweli,uislam hauruhusu chuki.
Hao waislam ulokutana nao wewe halafu wakawa wana chuki dhidi ya Imani zingine watakua watu wa itikadi.
Na uislam haupendi itikadi.
 
Sio kweli,uislam hauruhusu chuki.
Hao waislam ulokutana nao wewe halafu wakawa wana chuki dhidi ya Imani zingine watakua watu wa itikadi.
Na uislam haupendi itikadi.
Mkuu Uislamu mnavyouandika ni mtamu sana, ila Matendo tunayoyaona ni tofauti kabisa!
 
Back
Top Bottom