Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Inasikitisha sana, huu mzozo wa mashariki ya kati umekosa mpatanishi
Acha Putini atumie hio furusa kuikaanga ukrein. Maana mabeberu hawatoweza kupambana vita ya ukrein na Israel, uzuri Mchina anaiunga mkono Lebanon, Turkey atapeleka Siraha za kutosha . Kwahio itabidi apambane na wanajeshi kutoka Syria,Iran, Iraq, Yemen, Lebanon yenyewe . Na bahati nzurii Hezbollah Siraha zitawafikia vizuri tu. Maana Serikali ya Lebanon ishasema itaungana na Hezbollah kupambana na Israel. Wameambiwa wakigusa Beruit nawao wataigusa TelAviv.

Hii vita Israel atatumia Nuclear.🤣
 
Si nilikwambia jana ukakomaa kusema ana hali mbaya ndio maana US na Uk wakaomba suruhu. Hivi kama hali iko kama ulivyodai jana, si angeikimbilia hiyo nafasi halafu aseme ameombwa na hao viongozi.?

Kunyweni maji tu, kiu ni kali sana hapo jangwani
Huwa wanaokota vihabari na kujiandikia wakati mwingine hata wanachokiandika hawakielewi
 
Yupo sahihi. Hakuna maridhiano. Mlipoanzisha uchokozi na kuua wa israel hamkutaka maridhiano hali imekua mbaya mnataka kuridhiana na nani. Piga piga hao wawahishwe kupata bikra 72
 
Si nilikwambia jana ukakomaa kusema ana hali mbaya ndio maana US na Uk wakaomba suruhu. Hivi kama hali iko kama ulivyodai jana, si angeikimbilia hiyo nafasi halafu aseme ameombwa na hao viongozi.?

Kunyweni maji tu, kiu ni kali sana hapo jangwani
Kitu ambacho mkuu hujakifahamu ama hujakipata ni kwamba NETANYAHU ndiye anayelazimisha vita.
Viongozi wenzake wote washaona vita hizi zimewaelemea.
Hata Rais wao Isaac alishaenda kinyume na kauli za Netanyahu mara nyingi tu.
Netanyahu wants to keep his face up that's why he insists on going on with the war.
Ila hata Yoav Gallant anafahamu kuwa hali mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…