Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
07 Oktoba 2023Lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
07 Oktoba 2023Lini?
Inafahamika mkuu Hamas ndio walianza kuingia.Kuweka kumbukumbu sawa Hamas ndiyo walianza wao kuingia Israel kutokea Gaza.
Mfu kivipi?Unajua tofauti ya mifano hai na mfu?!..huu wako mfano mfu
Hamas wameshindikana.Hao hamas wameshindikana kivipi wakati mpk muda huu wanaishi kwenye vichuguu? Jipe muda kidogo utasikia milio na huko Lebanon
Hajadanganya yuko sahihi.Wewe Bibi kizee Ebu Acha Uwongo Wako na Udini Wako huwo Usiokuwa na Maana
Huo ndo ukweli. Hapo mashariki ya kati kama hao vichwa-maji wataachwa kuendelea kuwepo hapo, hakutakaa kamwe kuwepo na amani. Hao Kobaz wakiona wanamiliki bunduki na makombora wanadhani Ulimwengu wote uko chini yao. Wasipoona mtu anayewachokoza basi huamua kuanzisha chokochoko na kutishia kutumia silaha wanazomiliki. Ila safari hii hakika wameyatimba. Hakuna rangi wataacha kuona.Netanyahu namkubali sana yule mwamba, anajua kula sahani Moja na magaidi, Israel ndio italeta amani apo mashariki ya kati.
Usiite watu wanaopigania ardhi zao magaidi.Huwezi kaa meza moja na magaidi
Hizbullah?07 Oktoba 2023
Machafuko yote hapo mashariki ya kati yalikuja baada ya ujio wa Westerners na kuundwa kwa Israel zionism regime.Huo ndo ukweli. Hapo mashariki ya kati kama hao vichwa-maji wataachwa kuendelea kuwepo hapo, hakutakaa kamwe kuwepo na amani. Hao Kobaz wakiona wanamiliki bunduki na makombora wanadhani Ulimwengu wote uko chini yao. Wasipoona mtu anayewachokoza basi huamua kuanzisha chokochoko na kutishia kutumia silaha wanazomiliki. Ila safari hii hakika wameyatimba. Hakuna rangi wataacha kuona.
Kuna uwiano sawa hapo!?Kawaida tu, mbona Iran yupo nyuma ya Hezzibolah na Hamas
Kuna conflicts of interests hapo.Inasikitisha sana, huu mzozo wa mashariki ya kati umekosa mpatanishi
Unazo picha za RafahMazayuni ni waongo wa ajabu.
Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.
Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Dunia ipi hiyo inayoitambua Hezbollah kama political organization? Hezbollah, Hamas, houthi hao ni wasumbufu tu hapo mashariki ya katiUsiite watu wanaopigania ardhi zao magaidi.
Gaidi ni USA na Israel wanaoendekeza agenda zao za machafuko hapo Middle east.
Dunia inaitambua Hizbollah kama political organisation sio terror group.
Wewe ni nani mbaka uwaite magaidi!??
Hakuna cha maana uliwahi kuongea wewe.Yupo sahihi. Hakuna maridhiano. Mlipoanzisha uchokozi na kuua wa israel hamkutaka maridhiano hali imekua mbaya mnataka kuridhiana na nani. Piga piga hao wawahishwe kupata bikra 72
Mkuu kama hauna uhakika wa taarifa NYAMAZA.Dunia ipi hiyo inayoitambua Hezbollah kama political organization? Hezbollah, Hamas, houthi hao ni wasumbufu tu hapo mashariki ya kati
BBC ipi unaiongelea wewe?Mkuu kama hauna uhakika wa taarifa NYAMAZA.
Mwaka jana USA iliitaka dunia nzima iitambue Hamas na Hizbollah kama terror organization ila dunia ilikataa.
Tena ilikua katika vikao vya UN.
Hadi BBC walilazimishwa kuitangaza Hamas kuwa ni kundi la kigaidi ila waligoma
Embu muwe mnafuatilia mambo aisee.
Kabisa, US kutaka suruhu haimaanishi Israel ana hali mbaya.Huwa wanaokota vihabari na kujiandikia wakati mwingine hata wanachokiandika hawakielewi
Marekani ndio dunia yenyewe au unaongelea dunia ipi? Ndio nchi yenye ushawishi zaidi duniani, anauwezo wa kuiwekea nchi yoyote vikwazo, marekani ikishatambua kundi kuwa la kigaidi inatosha haijalishi sijui Russia au Iran itapinga, Lebanon ni nchi ina jeshi lake hakuwezi kuwa na majeshi mawili ndani ya nchi moja ni magaidi hayo usiyafiche mkuu, habari sijui za BBC kulazimishwa ni uongo mtupu.Mkuu kama hauna uhakika wa taarifa NYAMAZA.
Mwaka jana USA iliitaka dunia nzima iitambue Hamas na Hizbollah kama terror organization ila dunia ilikataa.
Tena ilikua katika vikao vya UN.
Hadi BBC walilazimishwa kuitangaza Hamas kuwa ni kundi la kigaidi ila waligoma
Embu muwe mnafuatilia mambo aisee.
Aaaah mzee Mkubwa; Wewe hujiulizi katika hali ya kawaida inakuwajeUsiite watu wanaopigania ardhi zao magaidi.
Gaidi ni USA na Israel wanaoendekeza agenda zao za machafuko hapo Middle east.
Dunia inaitambua Hizbollah kama political organisation sio terror group.
Wewe ni nani mbaka uwaite magaidi!??
Hata gaza mlisema hivyo hivyo lakini waliingiaKwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika