Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Kwa Hali ilivyo ni wazi Lebanon inaongozwa na Hizbullah huyo Wazir mkuu na serikali yake hawana nguvu mbele ya hao jamaa na siku sio nyingi Hizbullah itajitwika mazima Lebanon labda Israel afanye jambo.
Yes exactly. Na kwa sasa Israeli AMEAPA hataki ceasefire, cjui negotiations, cjui nini wala nn; kazi ni moja tuu; kuifuta Hezbollah jumla. Kipimo ni pale wananchi raia wa Israel waliohamishwa watakapoweza tena kurudi majumbani mwao kwa amani. Tofauti na hapo, kipondo kikali na cha nguvu kitaendelea.
 
Halafu baada ya hapo ataiomba USA, UK, Germany Jordan, Saudi Arabia n.k zimlinde.
Hizo haziombi. Zote zipo nfukunoni mwake na hawana la kufanya zaidi ya kukubali kumpa chochote anachotaka. Jionee:
 
Israel ina hali mbaya ila Netanyahu wants to save his face.
Aisee mngekua mnatizama raia wanavyomlaumu Netanyahu na wanavyofikia hatua hadi ya kuandamana msingeongea haya.
Ni nchi gani duniani haina upinzani wa raia kwa serikali yao?
Yawezekana hatuoni kwa vile tulisikia serikali imezua media house zisitoe taaria, ila wewe mwenzetu unaishi ndani ya Israeli kabisa ndio maana unajionea tusiyoyaona sisi.
 
Suala la wakristo kujiunga ndani ya Hizbollah 2006 dhidi ya Israeli halina shida-vita ni vita haina dini japokuwa Islam wanapigana kwa ahadi ya mabikra 72 na mito ya pombe.
Hao wakristo anaowasema ni wale waliojiunga na sunni, na wao hupambana na Zionist sio wayahudi wote.
 
Israel ina hali mbaya ila Netanyahu wants to save his face.
Aisee mngekua mnatizama raia wanavyomlaumu Netanyahu na wanavyofikia hatua hadi ya kuandamana msingeongea haya.
Mkuu, siasa, SIASA ni mchezo mchafu. Kiongozi wa nchi kulaumiwa ni kawaida sana. Mbona juzi hapa Tz; Mh. Raisi wetu alilaumiwa sana na kusutwa mno hadi kwenye mitandao na hadi watu kutaka kuandamana? Hiyo ni Order of the day kwa kiongozi yeyote - hata nyumbani kwako ulimlaumu sana baba yako aliyekuzaa. Usishangae broo..
Wote Israel na Lebanon kote kuna hali mbaya. Hakuna wa kujivuna ila wanatofautiana katika viwango tuu. Who has better mitigation measures.
 
Mazayuni ni waongo wa ajabu.

Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.

Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Nimejifunza kitu, ukiwa muislamu siku zako za furaha duniani zinakuwa chache sana, ndio maana wana imani na mito ya pombe na bikira 72 after death.
 
Netanyahu ndio jeuri sio Israel.
Hapana. Netanyahu ni Waziri mkuu wa Israeli. Ndiye msemaji/Mtendaji mkuu wa Taifa la Israeli. Anaiwakilisha nchi ya Israeli. Kwa hiyo itakuwa sahihi zaidi tukisema Israeli ndio jeuri kwani Neta hajisemei ya kwake yeye kama yeye mtu binafsi. Inaongea Israeli, inatenda Israeli na Itawajibika Israeli kama nchi sio kama Netanyahu.
 
Ni nchi gani duniani haina upinzani wa raia kwa serikali yao?
Yawezekana hatuoni kwa vile tulisikia serikali imezua media house zisitoe taaria, ila wewe mwenzetu unaishi ndani ya Israeli kabisa ndio maana unajionea tusiyoyaona sisi.
Mkuu acha zako umenifanya supu ya kuku inipalie😂😂😂🙌🙌.
Kaka upinzani serikalini upo ila inategemea na aina ya upinzani.
Upinzani wa Tanzania unafananisha na wa Kenya!?
Upinzani wa Kenya unafananisha na wa Sri Lanka na Bangladesh!?
Kuna kiwako cha kupewa upinzani,kuna kiwango kikifikia jua aisee hali sio nzuri.
Mie nazungumzia maandamano waliyofanya raia August kurudi juu.
 
Hapana. Netanyahu ni Waziri mkuu wa Israeli. Ndiye msemaji/Mtendaji mkuu wa Taifa la Israeli. Anaiwakilisha nchi ya Israeli. Kwa hiyo itakuwa sahihi zaidi tukisema Israeli ndio jeuri kwani Neta hajisemei ya kwake yeye kama yeye mtu binafsi. Inaongea Israeli, inatenda Israeli na Itawajibika Israeli kama nchi sio kama Netanyahu.
Ni sahihi kusema kuwa Netanyahu jeuri badala ya Israel, kwasababu mara nyingi amekua akiyashinikiza matakwa yake binafsi yanayopingana na viongozi wenzake.
 
Nimejifunza kitu, ukiwa muislamu siku zako za furaha duniani zinakuwa chache sana, ndio maana wana imani na mito ya pombe na bikira 72 after death.
Hatukuja kucheka hapa duniani muujiza wa kwanza wa Yesu alibadili maji kuwa pombe Yesu alikua hacheki na hakua na mzaha kama nyinyi mnaojiita wakristo na nyinyi hamfanani nae hata kidogo kwa tabia zenu.
 
Nimejifunza kitu, ukiwa muislamu siku zako za furaha duniani zinakuwa chache sana, ndio maana wana imani na mito ya pombe na bikira 72 after death.
Akili umepeleka wapi!?
Ni umeamka na hangover ya chang'aa ama double kick!?
Wewe na Said Salim Bakhresa nani ana furaha!?
Wewe na raia wa Dubai nani ana furaha?
Wewe na raia wa Brunei nani ana furaha!??
 
Nimejifunza kitu, ukiwa muislamu siku zako za furaha duniani zinakuwa chache sana, ndio maana wana imani na mito ya pombe na bikira 72 after death.
Wale hezbollah waliokatwa genitals na zile pagers wao watafaidika na nini after death ?
 
BBC ipi unaiongelea wewe?

BBC kila nikiifuatilia Hammas wanaitaja kama kikundi cha kigaidi
Mkuu sio mpk uambiwe na bbc au marekani akuambie tumia akili yako
Hamas wanatetea ardhi ya Palestine na wako ndani ya Gaza na wananchi wako pamoja nao
Asa utawaitaje magaidi
Mandela alifungwa na kuitwa gaidi na wakoloni je nawew ulikubali kua Mandela ni gaidi
Hao kua waislam na ww kua mkristo isifanye uwe kipofu mkuu
 
Akili umepeleka wapi!?
Ni umeamka na hangover ya chang'aa ama double kick!?
Wewe na Said Salim Bakhresa nani ana furaha!?
Wewe na raia wa Dubai nani ana furaha?
Wewe na raia wa Brunei nani ana furaha!??
Hii inathibitisha hata wewe huna furaha.
Ndio maana umetaja wengine tena wa mbali na wewe.
 
Nimejifunza kitu, ukiwa muislamu siku zako za furaha duniani zinakuwa chache sana, ndio maana wana imani na mito ya pombe na bikira 72 after death.
Watashangaa watakapofika huko wakute "ziiiiiiiii" Kuna ukame mkubwa ulipita, Mito ya pombe imekauka kwa kiangazi, mabikra hakuna kwani kule hakunaga kuoa wala kuolewa (kwa sababu miili yenye hizo "organs" zinazowezesha kuoa au kuolewa hubaki hapa duniani-makaburini kuoza)wote ni roho tupu kwa hiyo watasubiri hukumu sio mabikra 72.
 
Hii inathibitisha hata wewe huna furaha.
Ndio maana umetaja wengine tena wa mbali na wewe.
😂😂😂🙌🙌🙌🙌Unajua kwanini nimemtolea mfano wa hao wa mbali!?
Kwasababu mawazo yake yalienda mbali.
Mie nina furaha mkuu supu ya kuku inanipa furaha.
 
Back
Top Bottom