Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon

Waw! Zimetoka hadharani sio? Tutarajie nini mkuu ilhali wakubwa wote wa Hezbollah 95% wameshalambwa vichwa? Hezbollah is almost crippled if not incapacitated and debilitated to a high degree.
Mzushi huyo .
Acha magaidi waendelee kuliwa vichwa
 
Hizo

Hizo hadithi za jikoni siyo za kuleta JF.

Ungekuwa na akili japo kidogo ungewahurumia wananchi wasio na hatia wa Lebanon na Palestina wanaoteswa na kuuawa kwa sababu ya haya magaidi ya Hezbollah na Hamas yanayofadhiliwa na Iran. Bila ya Iran, leo hii Palestine ingekuwa nchi kamili, na Lebanon pangekuwa ni mahali salama pa kuishi. Kipigo dhidi ya haya makundi ya kigaidi yaliyotengenezwa na Iran, kinaungwa mkono kwa siri na karibia mataifa yote ya Kiarabu. Nchi za kiarabu zinaimini kuwa makundi haya ya kigaidi yaliyo hatari kwa tawala za Serikali zao, ni Israel pekee ndiye ana uwezo wa kuyadhibiti, ndiyo maana wanaiunga mkono Israel kwa siri.

Nchi za Kiarabu,majonzi yao ni kwaajili yaraiawema wanaokufa bila hatia, lakini hakuna mwenye kiyahurumia hayo makundi ya kigaidi ya Jamas, Bezbollah, Houth, IS.
Kwa hiyo unataka kusema mazayuni hawasaidiwi na mabwana zao wa US, UK, na NATO nzima?

Jikoni ndiko palikulea wewe. Cha kushangaza sijui lilikua ni jiko la kujipikia mwenyewe au kupikiwa na baba'ko?
 
Waw! Zimetoka hadharani sio? Tutarajie nini mkuu ilhali wakubwa wote wa Hezbollah 95% wameshalambwa vichwa? Hezbollah is almost crippled if not incapacitated and debilitated to a high degree.
Kuusikiliza uongi wa mazqyuni ni kitu kimoja na kuuelewa kuwa huu ni uongo ni kitu kingine.

Labda u mtoto sana wa kuelewa mambo au huelewi maana ya neno propaganda.
 
Kama walikubali, haijalishi ni shingo upande au shingo iliyonyooka. Kimataifa (sisi tulioko huku nje)hiyo ni hoja iliyokubalika na Baraza. Hao walioko kwenye baraza kama hawajui nafasi yao au wajibu wao na wanakubali kuburuzwa hiyo sisi hatujui.
Kwani hata hapa Tz si iko hivohivo? mf. Mbunge anaenda kikaoni halafu anaketi tuu hatoi hoja na wala hachangii hoja ila anashiriki kupiga makofi.
Mkuu we jamaa ni mbishani aisee😂😂😂😂😂😂😂😂.
Kwahiyo kushinikizwa hutaji kusikia au siyo!?😂😂😂😂
Wawe wameshinikizwa ama laa hiyo wee hujui!??
Doooh
 
Kws hiyo unatsjankusema mazayuni hawasqidiqi na US, UK, na NATO nzima?

Jikoni ndiko palikukea wewe. Cha kyshangaza sijui lilikua ni jiko la kujipikia mwenyewe au kupikiwa na baba'ko?
Hakuna hoja atakupa huyo.
 
Mkuu; kwani Netanyahu aliingia hapo kwenye nafasi hiyo kwa watu kuandamana? BTW ; wanaoandamana ni kina nani?? Isije kuwa ni kundi la wahuni fulani tu wamechoka maisha (skin heads). Hayo yapo karibu kila nchi duniani. Waandamani walikuwa wanamtaka nani ndo awe Waziri mkuu badala ya Netanyahu???? Usije kuwa ni kuondoa mzigo kichwani ukauweka begani halafu ukaanza kutamba eti mzigo nimeutua nimepumzika. Kwani PM waliopita kabla ya Neta wao ilikuwa vp.
Halafu mkuu mbona tunayo mifano hai ya hapa kwetu Tz.? Bado hatujifunzi tuu?? anakuwepo rais tunasema "oh huyu dah! hapana aisee" anakuja mwingine tunasema "duh! afadhali aliyepita huyu ni zaidi....." na tunasahau kukumbuka kwamba wote hao tunawachagua sisi wenyewe na kwa hiari yetu. Je, Huyo Neta alijiweka madarakani yy mwenyewe?
Unajua Netanyahu ameanza kuandamwa toka lini!?
Hivi unajua kuna kipindi ali step down akakaa Yair Lapid kama kiongozi wa mpito kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa!??
Raia wengi kiasi cha kufunga mitaa huwezi ukasema kikundi cha watu wachache.
Wanaoandamana ni raia zaidi ya 60% dhidi ya Netanyahu.
Unakumbuka mwaka huu mwanzoni bunge lilivunjika kati kwa kati wakipishana kuhusu vita ya Gaza!??
Wanaomuunga Netanyahu wakisema vita iendelee na wanaompinga wakisema vita inawagharimu.
Huyo huyo Netanyahu amshukuru Yair Lapid kuwaunganisha tena kwa kuwasisitiza kuwa kiongozi wa sasa ni Netanyahu na tusigawanyike kwasababu tupo kwenye vita.
 
Kwa vita ya aridhini yahudi anaenda kupigika
Vita ya Ardhini bila ya Air Support?Hezbola Airforce ilishateketezwa.

Hata huyo Ayatolah mwenyewe Airforce yake bado ni Primitive sana.
 
Mazayuni ni waongo wa ajabu.

Mabwana zao USA, Uingereza na Ufaransa ndiyo waliotaka ceasefire.

Nasrallah kawagomea, kawaambia sababu yetu inajulikana, nayo ni mazayuni waache kuua wanawake na watoto Ghaza.
Hezbollah wakae kambini waache kuwafanya wanawake na watoto ngao
 
Benjamin Netanyahu akataa maridhiano ya kusitisha vita Lebanon jana kwenye kikao cha UNGA. Adai hatokaa meza moja kuongea kuhusu amani hadi atakapoimaliza Hizbollah na kuwarudisha raia wa Galilaya katika makazi yao.

Na sasa jeshi la Israel linajiandaa kuivamia Lebanon kusini kwa miguu (ground invasion). Tutarajie wiki moja ijayo Israel kuingiza jeshi Lebanon kama ilivyo Oktoba 7 pale Gaza dhidi ya Hamas.

==============

TEL AVIV, Israel (AP) — Israel is preparing for a possible ground operation in Lebanon, its army chief said Wednesday as Hezbollah fired dozens of rockets across the border and a missile aimed at Tel Aviv that was the militant group’s deepest strike yet.

Addressing troops on the northern border, Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Israel’s punishing airstrikes this week were designed to ”prepare the ground for your possible entry and to continue degrading Hezbollah.”

The U.S., France and other allies jointly called for an “immediate” 21-day cease-fire in the conflict that has killed more than 600 people to “provide space for diplomacy.”

Their joint statement, negotiated on the sidelines of the United Nations General Assembly in New York, said the fighting was “intolerable and presents an unacceptable risk of a broader regional escalation.” Other signatories include the European Union, Japan, Saudi Arabia, United Arab Emirates and Qatar.

Israel says it targeted Hezbollah weapons and rocket launchers. In an apparent reference to the missile fired at Tel Aviv, Halevi told troops: “Today, Hezbollah expanded its range of fire, and later today, they will receive a very strong response. Prepare yourselves.”

It was not clear whether he was referring to a ground operation, airstrikes or some other form of retaliation against Hezbollah, which is Lebanon’s strongest political force and, with backing from Iran, is widely considered the top paramilitary group in the Arab world.

The Israeli military has said in recent days it had no immediate plans for a ground invasion, but Halevi’s comments were the strongest yet suggesting troops could move in. Israeli said Wednesday it would activate two reserve brigades for missions in the north — another sign that Israel plans tougher action.

Tensions between Israel and Hezbollah have steadily escalated since war broke out 11 months ago between Israel and Hamas, another Iran-backed militant group. Hezbollah has been firing rockets, missiles and drones into northern Israel in solidarity with Palestinians in Gaza and Hamas. Israel has responded with increasingly heavy airstrikes and the targeted killing of Hezbollah commanders while threatening a wider operation.

Nearly a year of fighting had already displaced tens of thousands of people on both sides of the border before the recent escalation.

Image

People gather at the site of an Israeli airstrike that hit a hangar in the southern town of Jiyeh, Lebanon, Wednesday, Sept. 25, 2024. (AP Photo/Mohammed Zaatari)

Israel has vowed to do whatever it takes to ensure its citizens can return to their homes in the north, while Hezbollah has said it will keep up its rocket attacks until there is a cease-fire in Gaza, something that appears increasingly remote.

U.S. Secretary of State Antony Blinken urged Israel and Hezbollah to step back, saying all-out war would be disastrous for the region and its people.

Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati called on the U.N. Security Council to act immediately “to guarantee the withdrawal of Israel from all the occupied Lebanese territories and the violations that are repeated on a daily basis.”

Israel’s U.N. Ambassador Danny Danon told reporters at the U.N. that Israel welcomes initiatives to broker a cease-fire and is “open to ideas.” But if diplomacy doesn’t stop Hezbollah attacks so residents of northern Israel can return home, he said, his country would “use all means at our disposal, in accordance with international law, to achieve our aims.”


Lebanon’s health ministry said 72 people were killed Wednesday in the continuing Israeli strikes, raising the death toll from the past three days to 636, with more than 2,000 wounded. At least a quarter of those killed have been women and children, according to Lebanese health officials.

Image

Israeli Iron Dome air defense system fires to intercept rockets that were launched from Lebanon, in northern Israel, Tuesday, Sept. 24, 2024. (AP Photo/Ohad Zwigenberg)

At Dar Al Amal hospital in the eastern city of Baalbek, Soumaya Moussawi lay in bed with her head bandaged and face bruised.

She had been sitting outside with relatives when warplanes started striking in the distance, she said.

“Then suddenly it hit next to us. We were all thrown in different directions,” she said. Two cousins and her father were killed, and another cousin was badly wounded.

This week has been the deadliest in Lebanon since the bruising 2006 monthlong war between Israel and Hezbollah.

Hezbollah said it fired a Qader 1 ballistic missile targeting the headquarters of Israel’s Mossad intelligence agency, which it blames for a recent string of targeted killings of its top commanders and for an attack last week in which explosives hidden in pagers and walkie-talkies killed dozens of people and wounded thousands, including many Hezbollah members.

Israeli military officials said they intercepted a surface-to-surface missile that set off air-raid sirens in Tel Aviv and across central Israel. There were no reports of casualties or damage. The military said it struck the launch site in southern Lebanon.

Israeli military spokesman Lt. Col. Nadav Shoshani said the missile fired Wednesday had a “heavy warhead” but declined to elaborate or confirm it was the type described by Hezbollah. He dismissed Hezbollah’s claim of targeting the Mossad headquarters just north of Tel Aviv as “psychological warfare.”

The Israeli military said it was the first time a projectile fired from Lebanon had reached central Israel. Hezbollah claimed to have targeted an intelligence base near Tel Aviv last month in an aerial attack, but there was no confirmation. Hamas repeatedly targeted Tel Aviv in the opening months of the war in Gaza.

The launch ratcheted up hostilities in a region that appeared to be teetering toward another all-out war, even as Israel continues to battle Hamas in the Gaza Strip.

Israel said Wednesday its air force had struck some 280 Hezbollah targets across Lebanon by early afternoon, including launchers used to fire rockets on the northern Israeli cities of Safed and Nahariya.

In the southern Israeli city of Eilat, a building at the port was struck by a drone, an attack that injured two people and was claimed by an umbrella group for Iranian-backed militias in Iraq. A second drone was intercepted, the Israeli military said.

Fleeing families have flocked to Beirut and the coastal city of Sidon, sleeping in schools turned into shelters, as well as in cars, parks and along the beach. Some sought to leave the country, causing a traffic jam at the border with Syria.

AP correspondent Charles de Ledesma reports how citizens are helping out in Beirut to help feed the large numbers displaced by recent Israeli attacks.

The United Nations said more than 90,000 people have been displaced by five days of Israeli strikes. In all, 200,000 people have been displaced in Lebanon since Hezbollah began firing rockets into northern Israel nearly a year ago, drawing Israeli retaliation, according to the U.N. Office for the Coordination of Humanitarian Affairs.

Hezbollah’s latest strikes included dozens of rockets fired Wednesday into northern Israel, the military said.

Rocket fire over the past week has disrupted life for more than 1 million people across northern Israel, with schools closed and public gatherings restricted. Many restaurants and other businesses are shut in the coastal city of Haifa, and there are fewer people on the streets. Some who fled from communities near the border are coming under rocket fire again.

Israel has moved thousands of troops who had been serving in Gaza to the northern border. It says Hezbollah has some 150,000 rockets and missiles, including some capable of striking anywhere in Israel.

Cross-border fire began ramping up Sunday after pagers and walkie-talkies used by Hezbollah were attacked remotely, killing 39 people and wounded nearly 3,000, many of them civilians. Lebanon blamed Israel, which has not confirmed or denied responsibility.

The next day, Israel said its warplanes struck 1,600 Hezbollah targets, destroying cruise missiles, long- and short-range rockets and attack drones, including weapons concealed in private homes. The strikes racked up the highest one-day death toll in Lebanon since Israel and Hezbollah fought a bruising monthlong war in 2006.

AP
Lebanon wamejitakia wenyewe. Wanakubali kutumika na Iran sasa watulie. Japo hatupendi vita.
 
Vita ya Ardhini bila ya Air Support?Hezbola Airforce ilishateketezwa.

Hata huyo Ayatolah mwenyewe Airforce yake bado ni Primitive sana.
Hivi hizbullah ana air force,au drone zinahesabika ni air force?
 
Ana weweseka marekani kamuumbua kumbe pendekezo la kusitisha mapigano kwa siku 21 Kali toa mwenyewe baadae anafika marekani ana geuka wamarekani wamechukia sana. Hezbollah haijawahi kuomba vita isimamishwe hata siku Moja.
 
Inafahamika mkuu Hamas ndio walianza kuingia.
Ila usisahau Israel 23 Agosti ndiye aliyeanza ukorofi kwa kuvamia Khani Younis.
Alichofanya Hamas Oktoba 7 ni retaliation.
UISLAM na uongo ni mapacha , Israel walipovamia waliua watu wangap ? Kwann hawakuwakabili huko huko Kan Yunisi ?
 
Yemen , Gaza , Lebanon , Qatar , Iran na Mnataka Israel apigane pekee yake
Qatar kafanyaje?.. unaandika tu, israel si ndiyo babe la ujasusi duniani,mgunduzi wa silaha hatari,jeshi imara kuliko yote,ilipiga waarabu wote,kumbe bila msaada hola
 
Back
Top Bottom