Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 830
- 2,241
Waziri Mkuu wa zamani wa ISRAEL, Benjamin Netanyahu anaongoza kwa asilimia 62% ya idadi ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa.
Pia tayari chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud kimeshinda idadi ya Viti 69 kati ya 120 katika bunge la nchi hiyo Knesset na hivyo kujihakikishia kuunda serikali.
Kwa kawaida nchini Israel inahitajika upate angalau viti 61 au zaidi ili uweze kuunda serikali.
Tayari Bw Netanyahu amekwisha zungumza na wafuasi wake na kuahidi kuunda Serikali itakayoirejesha tena heshima ya Israel.
Uchaguzi huu Utaondoa mkwamo kisiasa wa karibu miaka minne nchini Israel