Benjamin Netanyahu anakaribia kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu Israel

Kwani si mwaka jana tu walifanya uchaguzi, au?!!!!
Mnataka kuniambia miaka minne imepita tangu huyu benet aingie madarakani?!!!!!!! Si kwel8 kabisa
Benett aliunda serikali kutokana na Muungano wa Vyama sasa Muungano huo umevunjika kabla ya miaka minne kwa Hyo Ni lazima uchaguzi mpya ufanyike ili Kuunda upya serikali...
 
Naftali ni mbabe na mkorofi kuliko Netanyahu ukimfuatilia sema tu Waarabu hawajaleta chokochoko akiwa madarakani na bado hakuungwa mkono sana kwenye uchaguzi mkali. Walirudia uchaguzi kama mara tatu hivi mshindi anakosa mpaka muungano wa vyama ambapo Naftali alikuwa awe Waziri Mkuu kwa nusu ya muhula na unaofuata Waziri Mkuu awe mwingine ambaye sasa ni wa Ulinzi. Hii serikali ilionekana ni ngumu kudumu ila walichoka chaguzi. Bibi mwenyewe kesi yake ya rushwa iliyokuwa inamuandamana haijafika popote kwahiyo ni msafi fulani hivi.

Headlines za Israel zitarudi
 
Kwani si mwaka jana tu walifanya uchaguzi, au?!!!!
Mnataka kuniambia miaka minne imepita tangu huyu benet aingie madarakani?!!!!!!! Si kwel8 kabisa

Naftali ni mbabe na mkorofi kuliko Netanyahu ukimfuatilia sema tu Waarabu hawajaleta chokochoko akiwa madarakani na bado hakuungwa mkono sana kwenye uchaguzi mkali. Walirudia uchaguzi kama mara tatu hivi mshindi anakosa mpaka muungano wa vyama ambapo Naftali alikuwa awe Waziri Mkuu kwa nusu ya muhula na unaofuata Waziri Mkuu awe mwingine ambaye sasa ni wa Ulinzi. Hii serikali ilionekana ni ngumu kudumu ila walichoka chaguzi. Bibi mwenyewe kesi yake ya rushwa iliyokuwa inamuandamana haijafika popote kwahiyo ni msafi fulani hivi.

Headlines za Israel zitarudi
Kipindi cha Netanyahu Iran haikupumua
 
Wengi hawajui ,Naftali ni kichwa kibovu sana.
 
Back
Top Bottom